Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Bado unajidanganya.Kuna wenzako humu JF walituaminsha kwamba Hezbollah hawagusiki na Israel wakiwagusa tu,itakua mbaya sana kwao.Hii vita ni ngumu zaidi kwa Muisrael...
Yeye anapigana ili Aishi, Ilhali wenzake wanaishi ili wapigane naye...
Wakristo wa madhehebu za kiyahudi hawajui hayo baada ya kuingiziwa ujinga kwenye mafunzo yaoAlijitoa peke yake au walimuua,aliomba kwa Mungu wake,kuwa kikombe cha mauti,kimuepuke,,lakini hawa magaidi wakamtesa,wakamdhihaki,wakamvalisha nepi,wakamtemea mate,wakampiga mkuki,wakamsulubu,wakamuua,juu ya kuwa alikuja kuwakomboa wana Israel.
Mmehama kutoka Hezbollah kupewa kipigo mmehamia kwa Yesu kuuwawa?Wakristo wa madhehebu za kiyahudi hawajui hayo baada ya kuingiziwa ujinga kwenye mafunzo yao
Nimesikia Nasrallah amekwanyuliwa kichwa na Hasheem amerithi kifo.Kwani imekuwaje mpaka sasa.
Umeahi kusikia TelAviv ikishambuliwa na mtu yoyote huko nyuma.
Hilo halina shaka mkuu, jukumu walilojitwika (kuuangamiza Uislam)ni lamilele.wapendwa wao wanaliita taifa la Mungu na kwamba vita kwao ndio maisha!. bado natafakari juu ya hili,kwa wao kuwa taifa la Vita ni Baraka au laana!?Acha wacheke kumuua Nasrallah nimekua nikizungumza mara nyingi humu the problem to them is Islam, pale kuna msikiti wetu wa Al aqswa hivyo basi kama wataweza kuumaliza Uislam hii vita watashinda na Uislam haujazaliwa kushindwa mtaua watu sio Dini.
Acha wacheke kumuua Nasrallah nimekua nikizungumza mara nyingi humu the problem to them is Islam, pale kuna msikiti wetu wa Al aqswa hivyo basi kama wataweza kuumaliza Uislam hii vita watashinda na Uislam haujazaliwa kushindwa mtaua watu sio Dini.
Mzembe unamjua wewe ni yule anaeogopa kufa
Uislamu upo kila sehemu wala haupigwi vita. Upo hadi marekani ndani ndani huko waislamu wanaswali vizuri tu.Acha wacheke kumuua Nasrallah nimekua nikizungumza mara nyingi humu the problem to them is Islam, pale kuna msikiti wetu wa Al aqswa hivyo basi kama wataweza kuumaliza Uislam hii vita watashinda na Uislam haujazaliwa kushindwa mtaua watu sio Dini.
Hezbollah wametangaza rasmi Vita.
Kujificha kwenye mahandaki hata Netanyahu ndio hivyo hivyo na yeye kwenye mahandaki ya kuzui nyuklia kabisa.Hata Nasrallah aliogopa kifo ndio maana alikuwa anajifucha kwenye mahandaki.
Sasa wakienda kuuwawa si ndio vizuri Israel anashinda vita mapema au hutaki?
Kwanza heading yako sijaielewa.Huku eneo la Gaza likiwa limezingirwa na Israel na viongozi kadhaa wa Hizbullah na Hamas kuuliwa inatoa ishara ya ushindi kwa Israel.Hata hivyo kushambuliwa kwa meli za kivita za Marekani na kushambuliwa kwa miji mikubwa yote ya Israel hakutoi ishara nzuri kwa usalama wa mataifa hayo na mashariki ya kati kwa ujumla.
Kutokana na mendeleo makubwa ya kiteknolojia imekuwa ni rahisi kwa mwenye nguvu kumlenga na kumuua mtu wanayemuona ni adui kwao.Wakati huo huo imekuwa ni vigumu pia kupata ushindi kwa asilimia mia moja na pia ni rahisi kwa mtu ambaye ni dhaifu kuendeleza vita kwa muda mrefu.
Kinachoendelea mashariki ya kati kwa sasa kinatoa ufafanuzi wa wazi kwa wazo hilo hasa ukilingalia kwamba pamoja na nguvu kubwa za kijeshi walizonazo Marekani na Israel hazijawanyamazisha wala kuwahofisha makundi kama Hamas,Hizbullah na Houth kutusha makombora katikati ya Israel na uwelekeo wa meli za kivita za Marekani.
Ujasiri kama huo na uwezekano wa kufikia kuleta taharuki katikati ya Israel na kwenye miji yake mikuu haukuwepo kabisa.
Bila kubadilishwa sera za Israel na Marekani hali hiyo inatosha kuoesha kuwa vita baina ya mataifa hayo na maadui zake vita vi vita endelevu vitakavyokuwa vikibadilika kulingana na wakati tu,
Mwaka 2006 Hizbullah walipigana na Israel kwa teknolojia ya wakati huo ya kupiga vifaru tu na kuitia hasara kubwa.Mwaka huu pamoja na kuzidiwa kiteknolojia hasa ndege za kivita lakini bado wameweza kwa mara ya mwanzo kupiga mpaka katikati ya taifa hilo.
Kwa ujumla bila kubadili sera na malengo pamoja na kufuata maazimio ya kuleta suluhu,Israel haitaweza kujilinda na kubaki salama usalimini mpaka mwisho katikati ya majirani zake
Bado nahisi hujui chochote kuhusu mgogoro wa mashariki ya kati. Kwamba issue ni msikiti? Hakuna Wayahudi Waislamu? Kajifunze upya; hi ya kuzungumzia dini ni huku kwetu Africa, tena Africa ya weusi ndio tunajua hivo, Waarabu wenyewe wanajua sababu. Well, before I forget..., Saudia, Qatar, UAE,Kuwait nk sio Waarabu? Sio Waislamu? Why nchi kama Saudia ipo tayari viwanja vyake vya ndege vitumiwe na Israel lakini sio Hamas? Why Lebanoni haipendezwi na uwepo wa Heziborah kwenye ardhi yao? Sio Waislamu wale? Hawaujui huo msikiti? Sie huku tunaijua dini kuwazidi wale ambao hata kitabu kimeandikwa kwa lugha yao? Hapa duniani kuna mataifa mengine yenye historia ya kupigana mara kwa mara kama Israel and Palestinians? Hapo hakuna kitu kama Islamic in the world and hence there was no msikiti at the area and still walikua wakipigana...! Bro, rudi kaisome tena historia ya hawa watuAcha wacheke kumuua Nasrallah nimekua nikizungumza mara nyingi humu the problem to them is Islam, pale kuna msikiti wetu wa Al aqswa hivyo basi kama wataweza kuumaliza Uislam hii vita watashinda na Uislam haujazaliwa kushindwa mtaua watu sio Dini.
Wenzangu akina nani?Bado unajidanganya.Kuna wenzako humu JF walituaminsha kwamba Hezbollah hawagusiki na Israel wakiwagusa tu,itakua mbaya sana kwao.
Hassan Nasrallah ni wa Allah na kwake amerejea.Wenzake watachukua majukumu.
Nasrallah mwenyewe alichukua cheo mwaka 1992 kilichowachwa wazi na Mussa Musawi aliyeuliwa na hao hao Israel.
Mashoga wanafumuliwa tu kwa code za mombasa na pemba kwa wanaopenda hayo mamboUmefahamika ukubwa wa ujinga wako.
Kwamba kwenda kwa mabikra peponi unaona ni jambo la kipuuzi na unakubali kuwa shoga duniani