Meli za kivita za Marekani na miji ya Israel kuendelea kushambuliwa Mashariki ya Kati ni ujumbe mzito wa mustakbali wa usalama wa dunia

Usijione uko huru sana kutumia mdomo uliopewa na Allah ili uutumie kwa faida yako.
Mwenzako mmoja juzi tu mtaani kwetu alizimwa ghafla akakosa hata muda wa kujutia kwa alichokisema.
Tania wenzako upendavyo lakini jizuie sana na kumtania Allah.
Mifano iko mingi sana ya zamani na karibuni kabla ya hata kufikia kwa Firauni kutokana na matumizi mabaya ya midomo.Na hayo huwa yanawatokea wote makafiri ya dini nyengine na waislamu wanafiki.
 
Si mlishangilia ..? Mkajimwambafai hezbollah watemi kiko wapi. Acha mpate motroooo tena wa gas kabisa
All the best 🇮🇱
 
Acha wacheke kumuua Nasrallah nimekua nikizungumza mara nyingi humu the problem to them is Islam, pale kuna msikiti wetu wa Al aqswa hivyo basi kama wataweza kuumaliza Uislam hii vita watashinda na Uislam haujazaliwa kushindwa mtaua watu sio Dini.
Nafikiri makafiri wanajingopea kuwa tukiwaua wataogopa na vita kuisha,watambue tu Muislam haogopi kufa hasa anapoamini ninakufa ktk misingi ya Imani yangu nimalize Mimi wengine watashika nafasi Nasallah amekwenda na makamanda wa vikosi vyote wapo wengine wanasubiri teuzi washike nafasi kuendeleza vita hiyo hata kama baada ya kuteuliwa na kufa,Kwa Mgogoro uliopo pale Israel ajue tu hatopata amani ikiwa ataendelea kuikandamiza palestina na majirani wengine.
 
Hawa makamanda wanao subiri teuzi kuna makamanda hapo wali took the benefit. Namaanisha pengine walivujisha siri.

Rovac dikteta wa TURJIKISTAN katika muvi ya 6 UNDERGROUND aliwadondosha ghorofan makamanda wa staili hiyo akateuwa next men line up........

I dont know who killed my generals, but I always hate those who took the benefit. I like men like you but not you........

Next men up congratulation......


Sound like a bad muviiiii ahaaaaaas
 
Acha wacheke kumuua Nasrallah nimekua nikizungumza mara nyingi humu the problem to them is Islam, pale kuna msikiti wetu wa Al aqswa hivyo basi kama wataweza kuumaliza Uislam hii vita watashinda na Uislam haujazaliwa kushindwa mtaua watu sio Dini.
Huu ujinga wa kuwaaminisha watu kwamba hii ni vita ya kidini na sio ardhi ndio maana mnatengeneza mgawanyiko hampati uungwaji mkono wa asilimia mia.

Jeshi la Israel lina Waislamu kibao tu. Wapo Wapalestina kibao tu ambao Wakristo. Utengano mnautengeneza wenyewe halafu mnabaki mnajiuliza kwanini Waislamu wa Saudio na wengine wengi wa hapo mashariki ya kati hawawaungi mkono. Kumbe habari zenu za udini, huyu Shia huyu Sunni.... Hamtatimiza lengo kwa njia hii ya kuhubiri udini.
 
Acha wacheke kumuua Nasrallah nimekua nikizungumza mara nyingi humu the problem to them is Islam, pale kuna msikiti wetu wa Al aqswa hivyo basi kama wataweza kuumaliza Uislam hii vita watashinda na Uislam haujazaliwa kushindwa mtaua watu sio Dini.
Hiyo Al Aqsa ilijengwa kwenye uwanja wa baba yako ?
 
Waaelimisheni hao wanaofikiri mashahidi wanakufa, wapo hai asiejua hilo ni jahili tu na atabaki kuogopa kufa wakati anajua atakufa tu.
Mbona na wewe usinyonge utapike tende na haluwa ufe shaheed .
 

Vitisho vyako hivi mbona mumeshindwa kumfanyia chochote Netanyahu anawatafuna vichwa kila siku, acha hasira na vitisho jadili hoja, huu ni mtandao wa kijamii huru na sio msikiti wenu huko mnakofundishana maugaidi....ukiendelea kuwatishia watu humu mod watakufuata.
Uislamu umebuniwa juzi tu miaka 500 baada ya Yesu, ndio mara ya kwanza huyo allah anafahamika, kabla yake kulikua na miungu mingi tu, nimekutajia hata mmoja wa miungu ya Wafilisti alikua anaitwa baal, naye alijaribu kufuta Wayahudi akashindwa.
Mfahamu Mungu aliyeumba Mbingu na nchi hawezi kuruhusu hiyo miungu yenu kuifuta Israel, ameanza kuwalinda tangu na tangu.
Jifunze kitu huku https://www.jamiiforums.com/threads...yume-ya-yote-yaliyofundishwa-na-yesu.2259408/
 

View: https://www.instagram.com/p/DAfuHJRshsK/?igsh=MTViNXFvM2VjYXZuZA==
Houth Wana makombora na wanawapelekea moto Saudia na USA plus Israel,hivi wanawezeshwa na nani?

View: https://www.instagram.com/p/DAfuHJRshsK/?igsh=MTViNXFvM2VjYXZuZA==
 
Mbona na wewe usinyonge utapike tende na haluwa ufe shaheed .
Sisi ni kina mwamba Hamza tunawalia timing mayahudi na kutumaliza wasahau. sana sana wanazidi kuamsha mashahidi wapya.
 
Na mtapigwa sana, ila IDF wamenifuraisha sana kufyeka hilo gaidi vipande vipande… ViVa IDF. ViVa MOSSAD… GOD bless Israel
 
Hakuna waoga kama hao waarabu ndio maana kila mara ni kujificha kwenye mashimo kama panya au kujificha nyuma ya wanawake na watoto.
 
kuna nchi za kufikiria kupigana na kuna nchi za kuleta vichekesho tu. nchi kama Yemen au yeyote ya kimaskini mfano wake, itabweka na kurusha vikombora weee, ila israel au marekani wakipiga tu bandari, kituo cha umeme kama walivyofanya jana, nchi inasimama. hawana umeme, hawana pa kuingiza bidhaa, uchumi unadorora na watachukua miaka mingi kujenga upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…