Meli za kivita za Marekani zaingia kwenye 18 za Hizbullah, Askari watano waangamia

Mleta mada, hebu turia kidogo, Hao masoja wamekufa kwenye training, sio kwenye active combat na Hezbollah, jifunze kizungu vzr,
 
Wapigwe mawe Hao mashoga
 
Kambi ya magaidi wa Marekeni iliyopo Iraq na Syria zimepata shambulio Kali na kusababisha magaidi 5 wa Marekani kuuwawa jana Helicopter zaidi ya kumi zilikua zifanya kazi ya kuwabeba majeruhi kuwapeleka Baghdad kwa matibabu
 
Chuki sio nzuri
Acha ujinga wewe mwanamgambo mahaba yakizidi unakua Mpumbavu.. Marekani anafanya nini Syria au Iraq mbona Marekani anashambuliwa Syria na nk haulalamiki au misaada kondom ndio imekulemaza
 
Wewe ni sawa na yule ng'ombe wa Mayele.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye madrasa hayo hayafundishwagi huko.
 
naona unashangilia. ila mkipigwa pia mnakuja hapa kulalamika, hivi akili zenu zikoje?
 
ninachoogopa, kama kweli Russia amesema ana maintain relations with hamas, ni kwamba, hizi ni siku za mwisho kabisa. Mfalme wa kaskazini aliyeandikwa kwenye Biblia (yaani Russia atashirikiana na uturuki, syria) ataungana na mfalme wa mashariki yaani Iran na nchi zingine za asia (kama china), wataishambulia israel, na israel itapigwa sana. lakini hata hivyo, Mungu atashuka na kuisaidia mwisho wa siku na majeshi yao hayo yote 3/4 watafutwa. ni Neno lililotabiriwa na ukiona wale wafalme wa kaskazini na masharini wanaungana, waelewa changamkeni, mwenye kanisa amekaribia kuja, Mfalme wa wafalme, Bwana wa mabwana, Mungu wa kweli yupo malangoni.

Biblia imetabiri kwamba atakuja ghafla kama mwivi, kama mwenye nyumba angelijua siku ile mwivi atakuja, hakika angelikesha wala asingeiiacha nyumba yake kuvunjwa. siku za mwisho zimefananishwa na mtumwa mwaminifu

Lk. 12:43-59​

43. Heri mtumwa yule, ambaye bwana wake ajapo atamkuta anafanya hivyo.
44. Kweli nawaambia, atamweka juu ya vitu vyake vyote.
45. Lakini, mtumwa yule akisema moyoni mwake, Bwana wangu anakawia kuja, akaanza kuwapiga wajoli wake, wanaume kwa wanawake, akila na kunywa na kulewa;
46. bwana wake mtumwa huyo atakuja siku asiyodhani na saa asiyojua, atamkata vipande viwili, na kumwekea fungu lake pamoja na wasioamini.
47. Na mtumwa yule aliyejua mapenzi ya bwana wake, asijiweke tayari, wala kuyatenda mapenzi yake, atapigwa sana.
48. Na yule asiyejua, naye amefanya yastahiliyo mapigo, atapigwa kidogo. Na kila aliyepewa vingi, kwake huyo vitatakwa vingi; naye waliyemwekea amana vitu vingi, kwake huyo watataka na zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…