Meli za kivita za Marekani zaingia kwenye 18 za Hizbullah, Askari watano waangamia

Meli za kivita za Marekani zaingia kwenye 18 za Hizbullah, Askari watano waangamia

Propaganda za Kitoto
Acha wota wewe.Propaganda wapi na mimi nimenukuu vyanzo unavyoviamini.
Askari watano wa US wamekufa yawezekana ni kombora au droni kutoka Lebanon kwa vile hawakuweka wazi chanzo cha kutumbukia baharini kwa helkopta hiyo.
 
ninachoogopa, kama kweli Russia amesema ana maintain relations with hamas,
20231007_211819.jpg
Screenshot_20231010-234801.png
 
Akitoa pole kwa familia za askari hao Rais Biden amesema askari hao wamekufa kishujaa wakitetea nchi yao. Akasema wanawaombea mashujaa hao na watafanya hivyo kila siku.
Kwani Marekani anapigana na nani
 
Hezbollah hit the Israeli's Al-Dahira base by firing several Barkan missiles with a warhead of more than 500 kg.
 
urusi angekuwa na msaada, angeisaidia syria isiwe magofu kama ilivyo sasaivi.
 
Sayyed Hassan Nasrala katika hotuba yake wiki iliyopita aliionya Marekani kutokana na uungaji wake mkono maafa kwa wapalestina akiiambia kuwa tayari wana kitu mkononi kwa meli zake za kivita zilizotia nanga karibu na nchi hiyo.

Kitu hicho kizito inaaminika ni aina ya makombora mazito ya kuzamisha meli ambayo imeshayapokea kutoka Urusi kupitia Syria.

Makombora hayo inasemekana ni Yakhont missile yenye uwezo wa kupiga mpaka kilomita 300. Pamoja na makombora hayo Hizbollah tayari ina droni nyingi na ambazo wameshaanza kuzitumia kulenga maeneo ya kaskazini ya Israel na kusababisha hasara kwa vikosi vya IDF.

Hapo jana jeshi la Marekani limeomboleza vifo vya askari wake 5 katika eneo la Magharibi ya Lebanon ndani ya bahari ya Mediterraneo.

Katika taarifa ya jeshi hilo imeelezwa kuwa maafa hayo yaliyokea baada ya helkopta iliyokuwa kwenye mazoezi kudondoka baharini.

Akitoa pole kwa familia za askari hao Rais Biden amesema askari hao wamekufa kishujaa wakitetea nchi yao. Akasema wanawaombea mashujaa hao na watafanya hivyo kila siku.

Five US troops die in training air crash in eastern Mediterranean

View attachment 2812232
We fala bila shaka kuna shimo mwilini mwako halipo sawa
 
Back
Top Bottom