Melo aendelea kuonesha mfano kwa kukutana na watu mbalimbali, hapa kaamua waje school of law

Melo aendelea kuonesha mfano kwa kukutana na watu mbalimbali, hapa kaamua waje school of law

Mkuu Burita, britanicca , thanks for this!, kwenye heading umesema school of law, kwenye story ukasema Law School,
School of Law ni faculty of Law, UDSM, kitivo cha sheria, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam FoL
Law School ni Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo (LST)
P
kumbe school of law iko UDSM pekee.
 
kumbe school of law iko UDSM pekee.
Vyuo vikuu vya EAC vilianzishwa na wakoloni Waingereza, wakaanzisha vyuo vikuu vitatu, UDSM, UN na UG-Makekere
UDSM ndio ilikuwa School of Law, UN Business, na UG, humanities. Ingawa vyuo vikuu mbalimbali vilikuja kuanzishwa na kufundisha sheria, kama Tumaini, Mzumbe, Open, Udom, ila ukisema School of Law, ni UDSM!.
P
 
Oyaa nyie msitupange

Mara ya mwisho namfatilia mello kwenye ban hakuwepo hadharani may be Abroad

Leo ghafla ban limeisha na mello anakaribisha watu.! Unajua msijikute waivyo sana

Huyu ni kiumbe ambaye amani yake iliuzwa kwa muda msitufanye mafala na komenti zenu za kusukumwa uzi

Mfunguke Makebo yenu
Kka kwani ban ya JF imeisha mbona mm siwezi acces bila kubonya kitufe cha VPN
 
Anaandika Max Mello

“Leo, Juni 11, 2026 nimepata ugeni wa vijana kutoka Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (Law School)

Walionitembelea ofisini kutaka kujifunza masuala mbalimbali

Tumekuwa na wakati mzuri na kushirikishana masuala

Mbalimbali huku wakipata kujua shughuli zinazofanywa na taasisi yetu pamoja na fursa zilizopo (kwetu na katika digitali)

Kuna masuala ambayo pia nimejifunza kwao, nami kujitahidi kwa takribani saa 2 kuwapa kile ambacho kinaweza kuwa na tija kwao katika safari yao professionally”

Jamaa apewe heshima anakuwa mbele ya muda ! Haka ka kikao unaweza kadharau kumbe kapata mawazo chanya 1000


View attachment 3605887
Safi sana kwa kutoa pongezi kwake, hasa ukikumbuka wewe ulikuwa 'Catalyst' kwa JF kupigwa kofuli.
 
Back
Top Bottom