britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Nami piaNipo namsikiliza hapa.
Asante kwa taarifa.
Mello ameongea kijasiri na UJASIRII mkuu...Nami pia
Mnatazamaje hizi. Mie inaniambia content ipo restricted.Katika mazungumzo na The Chanzo amefunguka kuhusu kwanini TCRA wameifungia JamiiForums kwa siku 90
Tukiwa wenye akili timamu kabisa tunajua kuwa bila kupigania haki kwa udi na uvumba hatutoboi
View: https://youtu.be/YLRFPaPTlOA
Hatutanyamaza
Britanicca
SanaNi noma
Nenda YouTube the ChanzoMnatazamaje hizi. Mie inaniambia content ipo restricted.
Azizi ni muhuni sana nchini hapaMello ameongea kijasiri na UJASIRII mkuu...
Aiseeee kamtaja ROSTAM aziziiii kasema POLEPOLE alipo nyofoa betri ya makaa kumbe ndio chanzo wakapewa masaa mawili waondoe maudhuhi kinyume cha utaratibu wa masaa 12
Kamtaja pia chivayo yule mzimbabwe kua waliambiwa waondoe maudhihi
Aisee mello noma
So walishindwa kujibu hoja so Waka amua waanze kuwatisha!!!Mello ameongea kijasiri na UJASIRII mkuu...