AIIISE!Kabisa, hatuna haraka wala sababu ya kunyamaza. Muda wa kunyamaza upo mwingi sana baada ya kufa!
Huyo ni Muhaya watu smart kabisaJamaa Ana akili sana Ukimsikiliza kwa makini na kwa kina is the one of the greatest people we have in Tanzania
Ndo yaliyomweka Lissu ndani mpaka SasaMakaa ya mawe yana nini ndani yake?
Nini kimejificha ambacho wananchi hatutakiwi kukijua?
Na kwanini kila yakigusiwa basi watu lazima waumizwe kwa namna yeyote ile? Inafikirisha sana.
😅😅😅Hii awamu kila ukijitahidi kuitetea , yenyewe inatengua utetezi
Zile picha lawama zinatakiwa kwenda kwa ikulu tu
Dini gani huyo jamaa?Jamaa Ana akili sana Ukimsikiliza kwa makini na kwa kina is the one of the greatest people we have in Tanzania
Dini Tena ya nini ?? Ninyi watu wapuuzi sanaDini gani huyo jamaa?
Wahuni wanapiga pesa ndefu sana.. Pia dhahabu inasafirishwa kwenda Nje kwa kigezo cha makaa ya maweMakaa ya mawe yana nini ndani yake?
Nini kimejificha ambacho wananchi hatutakiwi kukijua?
Na kwanini kila yakigusiwa basi watu lazima waumizwe kwa namna yeyote ile? Inafikirisha sana.
Jibu swaliDini Tena ya nini ?? Ninyi watu wapuuzi sana
Huko aliko Lowassa R.I.E.P....anajua Rostam alimfanya nini?....nashangaa kwa nini familia yake imeamua kukaa kimya..Rostam ni mnyama sana....Mello ameongea kijasiri na UJASIRII mkuu...
Aiseeee kamtaja ROSTAM aziziiii kasema POLEPOLE alipo nyofoa betri ya makaa kumbe ndio chanzo wakapewa masaa mawili waondoe maudhuhi kinyume cha utaratibu wa masaa 12
Kamtaja pia chivayo yule mzimbabwe kua waliambiwa waondoe maudhihi
Aisee mello noma
Hana diniDini gani huyo jamaa?
OkayHana dini
Kaka aziziiii alifanya nini sema jambooo..Huko aliko Lowassa R.I.E.P....anajua Rostam alimfanya nini?....nashangaa kwa nini familia yake imeamua kukaa kimya..Rostam ni mnyama sana....