Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,547
- 5,940
.....
Mello ni mzalendo wa dhatii yeye kasema jamii FORUM haiandai maudhii bali ni Wana jamii forum..So walishindwa kujibu hoja so Waka amua waanze kuwatisha!!!
Katika mazungumzo na The Chanzo amefunguka kuhusu kwanini TCRA wameifungia JamiiForums kwa siku 90
Tukiwa wenye akili timamu kabisa tunajua kuwa bila kupigania haki kwa udi na uvumba hatutoboi
View: https://youtu.be/YLRFPaPTlOA
Hatutanyamaza
Britanicca
Halafu kuna Wapuuzi hawamuheshimu huyu jamaa,.Mello ameongea kijasiri na UJASIRII mkuu...
Aiseeee kamtaja ROSTAM aziziiii kasema POLEPOLE alipo nyofoa betri ya makaa kumbe ndio chanzo wakapewa masaa mawili waondoe maudhuhi kinyume cha utaratibu wa masaa 12
Kamtaja pia chivayo yule mzimbabwe kua waliambiwa waondoe maudhihi
Aisee mello noma
Achana na kitu kinachoitwa madarakaMello ni mzalendo wa dhatii yeye kasema jamii FORUM haiandai maudhii bali ni Wana jamii forum..
Yaani Mello kagonga za KICHWANI aiseeee kwenye hili SERIKALI imezingua
Mello kaeleza vyema na kafafanua kasema mbona AZIZIIII aliojiwa Azam Tv mbona hakutafutwa kubalancisha habarii..Azizi ni muhuni sana nchini hapa
Jamii forum ipo salama sana chini ya Mello.Halafu kuna Wapuuzi hawamuheshimu huyu jamaa,.
HahahahhahahahahJamii forum ipo salama sana chini ya Mello.
Yaanii Mello ANGEKUA ndio Hawa watu kina THLAATLAH CHIEMBE LUCAS MWASHAMBWA LUCHA aiseeee wangetuuzaaa 😆😆