Tetesi: MELT group walikopa Billion 250 kutoka benki ya Maendeleo ya Africa Kwa kutumia Kiwanda Cha Musoma textile Mills?

Tetesi: MELT group walikopa Billion 250 kutoka benki ya Maendeleo ya Africa Kwa kutumia Kiwanda Cha Musoma textile Mills?

Kwahiyo umekubaliana na mleta mada kuwa kuna kiwanda kilikuwa na wafanyakazi laki moja? Majimbo kibao Tanzania Watu wamepata ubunge KWA kupata kura chino ya laki moja.

Yaani umekubaliana na data za mleta mada kabisa. Kama kiwanda cha mkoa wa Mara kina wafanyakazi 100,000 je cha Dar es salaam kitakuwa na wafanyakazi wangapi?

Tufanye ni kweli. Tufanye kila mfanyakazi KWA wastani analipwa 100,000/= KWA mwezi.
100,000x100,000=10,000,000,000
Ambayo ni bilioni 10 kila mwezi kama mshahara ambayo ni bilioni 120 KWA mwaka kama mshahara.

Kiwanda kiwe Mara kilipe bilioni 120 kama mshahara kwa mwaka.


Ikiwa nchi ina viwanda 400 vyenye ukubwa kama cha Musoma jumla ya wafanyakazi itakuwa
100,000x400=40,000,000=40m

Watu 40m wawe viwandani Tanzania. Inakuja kweli?

Unapokosea data moja inafanya Watu wawe na shaka na data zingine
Huyo achana naye, yeye na wenzake wengi ni wajinga
 
METL amenunua mashamba na viwanda vya serikali kwa ajili ya kuombea mikopo kama collateral si kwa ajili ya kulima wala kufanya biashara Muddy na baba yake ni matapeli na wala hawana mpango wa kulipa hayo madeni.
Viwanda au mashamba yapi ambayo hayafanyi kazi?
 
Ndugu zangu wana Mara katika Utafiti wangu nimegundua kuwa Mo aka Metl group walikopa Billion 250 kutoka benki ya Maendeleo ya Africa Kwa kutumia Kiwanda Cha Musoma textile Mills,

Lengo la mkopo kupanua kiwanda hicho cha Musoma Textile lakini Fedha zile Mo walienda kujengea kiwanda Cha Mo energy Vingunguti,

Wanamara wote, Kwa Pamoja tuamke kulipigania hili Kwa sababu Wabunge wa Mkoa wa Mara wamekaa kimya,Mkuu wa mkoa amekaa kimya, Uongozi wa mkoa umekaa kimya miaka inaenda Kiwanda Cha Musoma hakijengwi Wala kuendelezwa,

NINAOMBA YAFUATAYO:

1: Nimtake Mo na Kampuni yake warudishe hicho Kiwanda mikononi mwa serikali Ili wawekezaji wengine wapewe kuendeleza,

2: MO ashitakiwe kama mhujunu uchumi Kwa sababu amefanya Financia loan diversion kisheria ni mhujumu uchumi

3: Nimtake Mo atekeleze lengo la mkopo ule au atulipe Watanzania Kwa kuchukua asset ya Watanzania na kuifanyia biashara kinyume na taratibu za serikali,

4: Ashitakiwe Kwa kuwakosesha wanaMara Ajira za moja Kwa moja zisizopungua 100,000 Kwa maana wakulima wangeuza pamba, serikali ingekusanya Kodi, Technolojia ingekuwa,na Mapato yangeongezeka Kwa asilimia 120 ndani ya mkoa wa Mara

4: Mkoa wa Mara tunalia Vyanzo vya Mapato kumbe Vyanzo Hivi vinahujumiwa na watu wachache.

5: Wananchi wote tuungane kuwapinga watu kama hawa Tanzania

6:. Mo aombe radhi na kutekeleza pendekezo namba 3 nililotaja hapo juu.

7: Serikali ya mkoa itoe tamko juu ya hili na kuwaomba wananchi Radhi Kwa kutokuwa makini na kutofuatilia uwekezaji wa namna hii

8: Mkopo huu umeingizwa kwenye Deni la Taifa kupitia Mikopo inayochukuliwa na sekta binafsi,Tanzania

B: Kama hayatafanyika hayo

1: Natoa siku 60 kuifikisha Kampuni hii Mahakamani ukiwa ni pamoja na kuwataarifu Benki ya Maendeleo juu ya default ya mkopo ya namna hii regardless unarejesha.

2: Serikali ianzishe uchunguzi wa hili suala kama haitafanya wananchi tutaishitaki serikali na Kampuni husika.

Ç: Naomba kuwasilisha hoja kujadiliwa Kwa upana na kupata maoni juu ya hili Kwa pamoja tupate maoni.

Wenu Mzalendo Mara

B.Marela
Mambo ambayo ushaidi wake hauna uhakika sipend kuyashobokea.
Ila MO huyu Kanjibai ana Janja janja sana kama aliweza kujiteka hashindwi ilo
 
Bila ushahidi ni UONGO

MUTEX haikuwa na hiyo thamani, haina hiyo thamani, haitakuwa na hiyo thamani
Mwamba huwa nayakubali sana majibu yako, ni short and clear licha ya mtoa mada kuleta hoja iliyonyooka.
 
Back
Top Bottom