Tetesi: MELT group walikopa Billion 250 kutoka benki ya Maendeleo ya Africa Kwa kutumia Kiwanda Cha Musoma textile Mills?

Huyo achana naye, yeye na wenzake wengi ni wajinga
 
METL amenunua mashamba na viwanda vya serikali kwa ajili ya kuombea mikopo kama collateral si kwa ajili ya kulima wala kufanya biashara Muddy na baba yake ni matapeli na wala hawana mpango wa kulipa hayo madeni.
Viwanda au mashamba yapi ambayo hayafanyi kazi?
 
Mambo ambayo ushaidi wake hauna uhakika sipend kuyashobokea.
Ila MO huyu Kanjibai ana Janja janja sana kama aliweza kujiteka hashindwi ilo
 
Bila ushahidi ni UONGO

MUTEX haikuwa na hiyo thamani, haina hiyo thamani, haitakuwa na hiyo thamani
Mwamba huwa nayakubali sana majibu yako, ni short and clear licha ya mtoa mada kuleta hoja iliyonyooka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…