Memba yupi unamuelewa na usiyemuelewa JF?

Memba yupi unamuelewa na usiyemuelewa JF?

Watafufuka watu kutoka makaburi ya chuki kuja kukiwasha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nawasubiri kwa hamu

Nyie nyoooka mko wapi?!!! Mje mtupe burudani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ushaanzaa nawee sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwan emu twende kulee, tukabonge vizurii
 
Ikiwa mwenye sijielewi naanzaje kutoelewa wengine.

Hii sehemu imekaa kinadharia zaidi, ni upumbavu wa hali ya juu kutomuelewa (kumchukia) mtu usiemjua. Ni sawa na kumchukia muigiza sinema anaeigiza kama ana roho mbaya.

Ukianza kuchukulia JF na watu wake serious kiasi cha kuathiri hisia zako basi ujue unapaswa kujitoa mitandaoni maana kuna dosari kubwa katika maisha yako halisi.

Mtu mmoja anamiliki ID kadhaa kwa personalities tofauti. Unaweza jikuta unaemuelewa na kutomuelewa ni mtu huyo huyo mmoja kwa ID tofauti.
 
Back
Top Bottom