Memba yupi unamuelewa na usiyemuelewa JF?

Memba yupi unamuelewa na usiyemuelewa JF?

Hello,

Member gani amekuwa bora kwako kwa miaka yote ya JF au tangia umeingia na umekuwa ukimfuatilia na kijifunza kitu kupitia yeye.

Binafsi ni MSHANA JR na MPWAYUNGU VILLAGE.

Nisiyemuelewa ni GENTAMYCINE ujuaji na FAIZA FOX udini.

Karibu Unitajie memba unayevutiwa nae na sababu na memba usiyemuelewa.
Namuelewa zaidi Mpwayungu Village
 
Otikiii🤪🤪 aya sasa nimeingia hapo vipi
FB_IMG_16877903369332262.jpg
 
Itakuwa unao wengi bro ila sisi tunajua sisy Joh ndio maza house, hao wengine wezi wakae kwa kutulia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
🤣🤣🤣Funguo nimetulia nazo hapa
 
Back
Top Bottom