cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Wee size yako machungwa na machenzaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]coca nionjeshe utamu wa papai[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee size yako machungwa na machenzaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]coca nionjeshe utamu wa papai[emoji23]
nimeingia mzima mzima[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimeingia mzima mzima[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo wako itakua zaidi ya urusi na Ukraine.Bado unamuonea huyo nipe mimi mpole mwenzie, we mchukue CW [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani lazima bro nitakuzingua kaushana mimi sikukubali pia
unagomba kwa maandishiKwani lazima bro nitakuzingua kausha
Kwahiyo unataka live siounagomba kwa maandishi
em jikaze
live utanidakia wapi😂Kwahiyo unataka live sio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo wako itakua zaidi ya urusi na Ukraine.
Nitakupata tu kwa gpslive utanidakia wapi😂
we endelea kunichukia kama vipi finya ukuta
Unataka kusemaje,haueleweki mbona
Ahsanteee uhuru wa mawazo ni njia bora ya kuwa halisi na kile kinachotokana nawee. Unafiki kwetu mwikoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tutauanaa asubuhi asubuhi.Ndio vizuri mshinde mnavunja vyombo ndani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]