cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wasijali watume email zao niwatumie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wasijali watume email zao niwatumie
Kumbe we msukuma sikujua ilo maana kunanyakati siwakubali kabisa😄😄😄lkn ndio vile nishapendwa tn 🤣 ukoukoAnafaidi kweli kwenye kipengele cha mizagamuo nina [emoji817]
Yaani km kumsukuma chura [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe we msukuma sikujua ilo maana kunanyakati siwakubali kabisa[emoji1][emoji1][emoji1]lkn ndio vile nishapendwa tn [emoji1787] ukouko
🤣🤣🤣🤣Shem ulishanipania kitambo unawezaje kuwepo wepo tuWewe kiswahili kinakupa shida shem?!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi msukuma wa utoka kutoka wapi tenaa?!! Mimi sina kabila nipo nipo tyu
Eti Shem nawe unaweza nipiga na kitu kizito humu maana nawe mkeshaji kama mimi tu🤣🤣🤣Wewe kiswahili kinakupa shida shem?!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi msukuma wa utoka kutoka wapi tenaa?!! Mimi sina kabila nipo nipo tyu
Moderator Huyu chizi ananzisha vita... mnaniruhusu nitumie silaha zangu za kivita, nimuangamize bila kunihukumu katika mahakama kuu yenu ya ban?!Na Basha wako pia nae hutoa Maoni.
Endelea Kushoboka kuingilia vita za mataifa makubwa tu....Yuko mtari wa mbele
🙄Endelea Kushoboka kuingilia vita za mataifa makubwa tu....
Kama unajijua huyawezi usiparamie majeshi makubwa.. mimi nakufungulieni uzi kabisa! Wewe na huyo Shoga mwenzio, Sijui taahira, sijui chizi mwenzio... GENTA
Nitakumwagieni mitusi na Kashfa mpaka mtabaki mnajiuliza hii mitusi dhidi yetu imeandikwa na ChatGPT au binadamu wa kawaida 😊😊😊
We nileteeni UCHOKO wenu tu 😊😊😊
Alikupiga kibomu nini?! 😀😅😅😅👍🏾Simpendi To yeye
Kwa kutazama avatar yako tu, sasa naamini humu JF kuna wanawake wazuri sana! 😌 waliojificha kwenye anonymous username zenye kutoaga michango ya hovyo sana na nyuzi za kiwakiBaba Swalehe chagua nikuweke kundi gani katika hayo mawili [emoji23]
Avatar inakupoteza mkuu [emoji23]Kwa kutazama avatar yako tu, sasa naamini humu JF kuna wanawake wazuri sana! [emoji18] waliojificha kwenye anonymous username zenye kutoaga michango ya hovyo sana na nyuzi za kiwaki
Maisha marefu wanawake warembo wote wa JF
We love you 🥰😘😘
Nashukuru Sana mkuuNakukubali pia mkuu👊
Mimi huwa sijali kitu, unanijua nilivyo mkorofi na mtukutu chapombe mzee wa mibangee.Chaliifrancisco unadhani upo kundi gani?