Memba yupi unamuelewa na usiyemuelewa JF?

Memba yupi unamuelewa na usiyemuelewa JF?

Anafaidi kweli kwenye kipengele cha mizagamuo nina [emoji817]

Yaani km kumsukuma chura [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe we msukuma sikujua ilo maana kunanyakati siwakubali kabisa😄😄😄lkn ndio vile nishapendwa tn 🤣 ukouko
 
Kumbe we msukuma sikujua ilo maana kunanyakati siwakubali kabisa[emoji1][emoji1][emoji1]lkn ndio vile nishapendwa tn [emoji1787] ukouko

Wewe kiswahili kinakupa shida shem?!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mimi msukuma wa kutoka wapi tenaa?!! Mimi sina kabila nipo nipo tyu
 
Wewe kiswahili kinakupa shida shem?!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mimi msukuma wa utoka kutoka wapi tenaa?!! Mimi sina kabila nipo nipo tyu
🤣🤣🤣🤣Shem ulishanipania kitambo unawezaje kuwepo wepo tu
 
Wewe kiswahili kinakupa shida shem?!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mimi msukuma wa utoka kutoka wapi tenaa?!! Mimi sina kabila nipo nipo tyu
Eti Shem nawe unaweza nipiga na kitu kizito humu maana nawe mkeshaji kama mimi tu🤣🤣🤣
 
Yuko mtari wa mbele
Endelea Kushoboka kuingilia vita za mataifa makubwa tu....

Kama unajijua huyawezi usiparamie majeshi makubwa.. mimi nakufungulieni uzi kabisa! Wewe na huyo Shoga mwenzio, Sijui taahira, sijui chizi mwenzio... GENTA

Nitakumwagieni mitusi na Kashfa mpaka mtabaki mnajiuliza hii mitusi dhidi yetu imeandikwa na ChatGPT au binadamu wa kawaida 😊😊😊

We nileteeni UCHOKO wenu tu 😊😊😊
 
  • Kicheko
Reactions: EEX

🙄
 
Kwa kutazama avatar yako tu, sasa naamini humu JF kuna wanawake wazuri sana! [emoji18] waliojificha kwenye anonymous username zenye kutoaga michango ya hovyo sana na nyuzi za kiwaki

Maisha marefu wanawake warembo wote wa JF
Avatar inakupoteza mkuu [emoji23]
Hakuna mtu anaweka avatar mbaya
 
Back
Top Bottom