Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hivi bangi pia unavuta?Mimi huwa sijali kitu, unanijua nilivyo mkorofi na mtukutu chapombe mzee wa mibangee.
Huwezi niweka kundi la unaowaelewa.
What if nakuelewa?
Tuna safari ndefu[emoji3064]