Memba yupi unamuelewa na usiyemuelewa JF?

Memba yupi unamuelewa na usiyemuelewa JF?

Naowalewa ni wengi yaani nikisema ni mention hapa takula ban... Kuna siku nilifanya hivi hivi wakasema spam sijui.. ila ni wengi wanafika 30 hivi..
Mtu nakua simwelewi temporary tuu akileta habari za kujimwambafai an
 
Avatar inakupoteza mkuu [emoji23]
Hakuna mtu anaweka avatar mbaya
Avatar yangu inamuonesha Mmasai bulicheka aliyepoteza dira, na jua linazama hana pa kulala... unaamini mimi ndo situation yangu hiyo?! Okay!... avatar yangu mbaya au nzuri?!

Kubali kataa! We ni pisi 😋🤤🤔

Unaonekana tu
 
Avatar yangu inamuonesha Mmasai bulicheka aliyepoteza dira, na jua linazama hana pa kulala... unaamini mimi ndo situation yangu hiyo?! Okay!... avatar yangu mbaya au nzuri?!

Kubali kataa! We ni pisi [emoji39][emoji1786][emoji848]

Unaonekana tu
Kawaida wamasai ni wafugaji
Ko lazima wazunguke huko na huko,pa kulala si muhimu.

Mimi pia nilibandika avatar ya mtu Mkuu [emoji23]
Ningeweka ya kwangu ni kasura pesono sana.
 
Back
Top Bottom