norbit
JF-Expert Member
- Jul 30, 2007
- 839
- 702
Jasusi m'bobezi kaingizwa chaka.Membe hatambuliwi na chama chake kama mgombea uraisi wakati wenyewe ndio walimteua...
Siasa za bongo😇
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jasusi m'bobezi kaingizwa chaka.Membe hatambuliwi na chama chake kama mgombea uraisi wakati wenyewe ndio walimteua...
Atapoteza pesa tu, Membe angeweza kama Lissu hangetokea, kitendo cha kugoma kumuunga lisu, kinamfunua wazi, kuwa Act walibugi stepTena wakimchomoa watakuwa wamemsaidia kupunguza hasara atakayoipata yeye binafsi kuliko ACT wazalendo sabab ACT wazalendo lazima watavuna wabunge kule Zenji! Lakin yeye BM hata akiendelea hatoweza kufika popote, upepo wa Lissu hauzuiliki hata CCM wanapata taabu sana!
Kumbe mlikuwa mnatupigisha taarabu muda wote huo? Mwambie bi mkubwa aje kwanza kwangu afu nitahamia nae. Mombasa .wewe kidudu mtu unayeishi kwa huku 7 unaniambiaje mm kulipa kodi ni hanmie nchiUnatia Aibu. Hama basi. Nenda Mombasa. Hapa kazi tu. Muda wa taarabu umekwisha.
Nasema uhalisia tu ila siasa kwangu siku hizi ni furahisha baraza tu baada ya majukumu. Nothing seriousMkuu naona sasa hivi ushakua nyoka wakijani kabisa. Nakukumbusha tu LOWASSA yupo huko.
Ndio maana maccm na makuwadi wao wamechanganyikiwa. Sheria inazungumzia kuungana, haizungumzii kitu chochote kuhusu kushirikiana. Ndio maana mwanzo nikasema kuwa maccm na mawakala wao: NEC na Msajili wametega mtego ukawanasa wenyewe. Itabidi waishi na hili tatizo na wajifunze kutotunga sheria na kanuni kwa kuvilenga vyama vya upinzani. Siku moja hata wao watakuwa wapinzani.Ipo hivi CDM na ACT this time waliamua kupima upepo wa Membe na Lissu...wakaingiza wote kwenye mchakato ili kuona bendera itapepea wapi...ingepepea kwa Membe Lissu angemuunga mkono Membe ila kwa sasa imeenda upande wa Lissu ACT wameamua kumuunga mkono Lissu..
Sheria mpya ya uchaguzi inavitaka vyama pinzani kuungana miezi 3 kabla...wangefanya hivyo CCM wangenunua watu kama vile Slaa na Lipumba na wangewachezea mchezo mchafu mapema.
Kifupi ACT na CDM this time wameplay very smart game na wamekwepa mtego wa CCM.
Kwani 2015 Magu alishinda..Lowassa alitaka kuliamsha wakamleta TB Joshua..safari hii wamlete hata Pope kinanuka mpaka waseme pooBoss wake ambaye ni Maalim Sefu ameshasema Rais wao ni Lissu. Ila mjue Magufuli ndiyo Rais wa Watanzania.
Magu alipata ngapi na Lowasa ngapi?Kwani 2015 Magu alishinda..Lowassa alitaka kuliamsha wakamleta TB Joshua..safari hii wamlete hata Pope kinanuka mpaka waseme poo
Smart game in the eyes of dunderheads.Ipo hivi CDM na ACT this time waliamua kupima upepo wa Membe na Lissu...wakaingiza wote kwenye mchakato ili kuona bendera itapepea wapi...ingepepea kwa Membe Lissu angemuunga mkono Membe ila kwa sasa imeenda upande wa Lissu ACT wameamua kumuunga mkono Lissu..
Sheria mpya ya uchaguzi inavitaka vyama pinzani kuungana miezi 3 kabla...wangefanya hivyo CCM wangenunua watu kama vile Slaa na Lipumba na wangewachezea mchezo mchafu mapema.
Kifupi ACT na CDM this time wameplay very smart game na wamekwepa mtego wa CCM.
Nilichoandika nimesema ni mamluki wa ccm ila kwa maneno tofauti...unajichanganya.... sio mamluki wa ccm tena?
Rudia kusoma ulichoandika mwanzo?
Mteyiz the owner of chadema ni mstaafu mwenye kiapo cha kutoisaliti serikali.... DJ nae maafisa... wabunge kibao maafisa..
Inabidi uwe zombie ndio utashangilia upinzani TZ[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
kama una akili timamu simama na ccm
Viva Magu
Tulieni dawa iendelee kuwaingia kisawasawa.....Sasa hivi unamuona Membe ni mradi wa ccm ila akitangaza kuiunga mkono chadema utajuja hapa na kushangilia na kusema ni jasusi mbobevu na tayari mmeshashinda.
Yani chadema mtu anaweza kuwachezea na kuwageuzageuza kama chapati muda wowote, mahali popote akitaka
Nilichoandika nimesema ni mamluki wa ccm ila kwa maneno tofauti...
Pole kwa kuvurugwa.... Na bado mkuu mtavurugika sn safari hii......
Membe kachero mbobezi bado pyslip yake inasoma vzr kabisa
Tanzania imesimama na Tundu Lissu na haiko tayari kurudi nyuma
Acha uzwazwa wa chato mkuu....Tanzania ni JPM kwa another 10 years....
Tuta adjust katiba kwa maoni ya wananchi walio wengi.
Pole mkuu .... hutopenda ila ndio uhalisia
Viva Magu 2020 to 2030
Acha uzwazwa wa chato mkuu....
We msukule wa lumumba unataka ushahidi gani zaidi..... Mwambie aweke wazi mikataba na malipo..... Mtoto wa dada mlipaji na mtwasi ndo anayepewa kandarasi zote....
Ccm wakeshauza nchi kwa wazungu mikataba yote ni ya kinyonyaji....
Magufuli ndo kaja kupiga dili zaidi......yeye binafsi amenunua ndege kwa usiri mkubwa kwa manufaa yake yy na wazungu......
Ufisadi na magufuli ni dhahiri sn tunachosubiria ni actual figures tu...
Nyie ng'ombe ccm hakuna rafiki wa wazungu zaidi ya maccm.....