Kinjeketile
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 999
- 1,683
Mkuu, kuna shoga hapo juu, limeni Quite likaandika Maneno ya ajabu ajabu kweli,
Nikuombe samahani mkuu, mandishi kama haya, hayatakiwi mtu mwenye akili na mwenye heshima kama wewe Kuya Quote,
Mkuu, tukirudi kwenye swali lako la msingi, ukweli upinzani upo, Ila haitawezekana kumshinda Magufuli, Hilo shikilia mkuu
Lolote linaweza kutokea,akishanda Lissu ni faida zaidi maana tutakuwa tumeondoa mfumo wa chama Dola,akishinda Magufuli kwa upinzani huu anopata ambao hakutegemea itakuwa na faida maana lile wazo la Ndugai na watu wake la kutaka kubadilisha katiba ili Magufuli atawale mpaka kifo kwa kigezo eti anapendwa nahisi watalifikiria Mara mbili kama si kuachana nalo kabisa. Kwa upande wa Magufuli hatobadilika tens hali zetu za kiuchumi zitakuwa mbaya zaidi ya miaka mitano ya mwanzo,huyu jamaa yenu no Jiwe kweli kweli