Uchaguzi 2020 Membe akanusha kuiunga mkono CHADEMA, yeye ndiye Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo

Uchaguzi 2020 Membe akanusha kuiunga mkono CHADEMA, yeye ndiye Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo

jana ilikuwa sherehe anaungana na chandema....
Leo mnamkimbizia ccm

wanadamu hawana wema

viva Magu 2020 to 2030
Huyu mende mbona hafanyi kampeni sasa.....

Mradi huu wa ccm mara hii ulishindwa hata kabla haujaanza...... Walihljifanya kumfukuza uanachama ikiwa ni mipango yao kuvuruga upinzani sasa wameshindwa rasmi...
 
Aupasue mara ngapi?

Membe sasa hivi akiamua anauwezo wa kuingia hadi chumbani mwa chadema tena kwa kumkaribisha
CCM mliUnderestimate upinzani.
Sasa hivi mnatamani mpasuka ili mpumue.
Si muendelee kunadi sera zenu za kununua mandege, stigler gorge (white elephant),treni ya mwendokasi, madaraja na mabarabara,shida iko wapi?
 
Hivi chadema mnashngilia kitu gani kwenye hili?

Kuna sehemu nimesema Mimi ni CHADEMA? Mimi nataka Magufuli na chama chake chakavu mwaka huu tuwafurumushe Ikulu na 2025 tuwapeleke makumbusho ya taifa huku tukiwashukuru kwa kutuletea Uhuru kutoka mkoloni wa Kiingereza.

Baada ya miaka 60 ya Uhuru nchi yetu haihitaji kuwa na chama dola tunahitaji mfumo ambao chama kikizingua wananchi tunawafurumisha madarakani na kuweka chama kingine.
 
Sasa wewe unasimamia kitu gani?

Maana jana ulikuwa unashangilia Seif aliposema rais wa bara ni Lisu.?

Huyu membe atawavuruga sana mpaka mtie akili

Membe anawavuruga nyinyi na sheria zenu mbovu. Mtajibeba na Msajili wenu na NEC yaani mpo kama fisi mnasubiri mkono udondoke ili mle nyama.

Membe ataendelea kukanusha Twitter lakini kampeni hapigi wala hasimami jukwaani kampeni zote za wagombea ubunge wa ACT zinazinduliwa na Zitto,hata Yale matangazo ya kuomba michango kuna picha za Zitto na Maalim Self. Mlidhani Sayansi ya siasa na figisu figisu m azijua peke yenu. Huyo ndoyo kachero mbobezi Membe.
 
Vipi mgombea wenu amelala anasubiri kuapishwa kama mlivyokuwa mnasema?

Naona wanafunzi wa chekechea,shule za msingi na sekondari wanafurahia matamasha ya bure ya wanasanii 100.
Mkuu, kuna shoga hapo juu, limeni Quite likaandika Maneno ya ajabu ajabu kweli,

Nikuombe samahani mkuu, mandishi kama haya, hayatakiwi mtu mwenye akili na mwenye heshima kama wewe Kuya Quote,

Mkuu, tukirudi kwenye swali lako la msingi, ukweli upinzani upo, Ila haitawezekana kumshinda Magufuli, Hilo shikilia mkuu
 
Aaahh, mlivyokuwa mnamshabikia kuwa Kachero mbobezi.

Twende nae tuu mpaka Oktoba 28
Sijawahi kushabikia mtu yoyote aliepo CCM kuhama na kuingia upinzani kwa sababu ya kunyimwa nafasi. Hawa kwangu nawaona kuwa ni walafi tu ama wametumwa. Sijawahi kuwaamini.
 
N

Na ninkwa nini mumlazimishe kujiunga na ninyi?
Kwa nini msiombe mzee wa ubwabwa mbina yupo free?
Kama mnataka muungano basi mumpe membe kijiti ili apeperushe bendela ya upinzani kama mnaona kuna haja na sio.kumlazimisha yeye ndo awaunge mkono.
Waulize viongozi wa chama sio mimi. Sina chama, nipo neutral kwenye siasa, natizama maendeleo ya taifa na sio chama.
 
Huyu mende mbona hafanyi kampeni sasa.....

Mradi huu wa ccm mara hii ulishindwa hata kabla haujaanza...... Walihljifanya kumfukuza uanachama ikiwa ni mipango yao kuvuruga upinzani sasa wameshindwa rasmi...
Kufanya kampeni sio takwa la lazima kisheria...
ila najua mwakani watabadili sheria ....
ukipewa nafasi ya kugombea uraisi itakuwa ni takwa la lazima kuzunguka mikoani kuomba kula kwa ilani ya chama chako.........it's loading
 
Hata Kama vyama vyote vya upinzani kwasasa vikiungana bado havijawa na uwezo wa kumuangusha JPM. Vyama vya upinzani mwaka huu ni dhaifu kuliko miaka yote ya Hivi karibuni.
Wewe wasema.
 
Kufanya kampeni sio takwa la lazima kisheria...
ila najua mwakani watabadili sheria ....
ukipewa nafasi ya kugombea uraisi itakuwa ni takwa la lazima kuzunguka mikoani kuomba kula kwa ilani ya chama chako.........it's loading
Ok mkuu...
 
jana ilikuwa sherehe anaungana na chandema....
Leo mnamkimbizia ccm

wanadamu hawana wema

viva Magu 2020 to 2030
Pole kwa kuvurugwa.... Na bado mkuu mtavurugika sn safari hii......

Membe kachero mbobezi bado pyslip yake inadoma vzr kabisa
 
Sasa wewe unasimamia kitu gani?

Maana jana ulikuwa unashangilia Seif aliposema rais wa bara ni Lisu.?

Huyu membe atawavuruga sana mpaka mtie akili
Huyu mende mbona hafanyi kampeni sasa.....

Mradi huu wa ccm mara hii ulishindwa hata kabla haujaanza...... Walihljifanya kumfukuza uanachama ikiwa ni mipango yao kuvuruga upinzani sasa wameshindwa rasmi...
 
Huyu mende mbona hafanyi kampeni sasa.....

Mradi huu wa ccm mara hii ulishindwa hata kabla haujaanza...... Walihljifanya kumfukuza uanachama ikiwa ni mipango yao kuvuruga upinzani sasa wameshindwa rasmi...
Sasa hivi unamuona Membe ni mradi wa ccm ila akitangaza kuiunga mkono chadema utajuja hapa na kushangilia na kusema ni jasusi mbobevu na tayari mmeshashinda.

Yani chadema mtu anaweza kuwachezea na kuwageuzageuza kama chapati muda wowote, mahali popote akitaka
 
Back
Top Bottom