Uchaguzi 2020 Membe akanusha kuiunga mkono CHADEMA, yeye ndiye Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo

Hivi hiki ulichoandika hapa kinahusiana vipi na hii mada
Nimeandika na kama unaelewa wa kutosha sio kukariri utaelewa. Nakumbuka nimeandika kujibu hoja ya nani? Linganisha na huyo nani punguani namwita anachoandika na anachozungumza musiba kisha njoo nikujibu
Mm ni mtanzania napenda Tanzania sipendi majungu na uchonganishi ndo mana nasema MAGUFULI hafai kuwa raisi wa nchi hii.
 
Membe naye asome hata alama za nyakati kwamba huu sio wakati wake?Mgombea gani wa uraisi kwenye mikutano yako hawafiki hata watu 20?
 
Maalim alifukuzwa CUF kwa maamuzi ya kukurupuka.atafukuzwa pia ACT kwa maamuzi ya kujiamulia kujiona yeye ni super power kuzidi wenye chama wakina Zito.
 
Nimeandika na kama unaelewa wa kutosha sio kukariri utaelewa. Nakumbuka nimeandika kujibu hoja ya nani? Linganisha na huyo nani punguani namwita anachoandika na anachozungumza musiba kisha njoo nikujibu
Mm ni mtanzania napenda Tanzania sipendi majungu na uchonganishi ndo mana nasema MAGUFULI hafai kuwa raisi wa nchi hii.
Hafai kwako ila kwa watanzania ana faa sana,

Wewe mchagua Lisu wakala wa Amterdam
20200921_110910.jpg
 
Hapo ni mtifuano ACT ambao haupoi leo then ndege tunduni. CCM ni too complicated kuwashinda kwa siasa zetu za kiafrika
Migogoro ya vyama wanaipika wenyewe halafu utasikia ohh CCM ndio wanachochea migogoro ndani ya vyama

Hili la wao kuteua wagombea uraisi kwa vikao halali kabisa halafu wanakuja kuwabwaga bila kikao chochote cha kamati kuu wala mkutano mkuu.Hivi mgogoro ukilipuka mida hii ndani ya CHADEMA na ACT WAZALENDO hadi kuvikata katikati hivyo vyama watalaumu CCM kuwa ndio tumeanzisha huo mgogoro?
 
Mkuu mbona iko wazi hio ACT&BM wanaunga mkono CDM katika uraisi, sheria za uchaguzi wa NEC ndio zinakataza kuwainga mkono kipindi hiki, BM hawezi kili hadharani kwa upande wa bara.

Lakini tujiulize mbona hapigi kampeni nje ya mikoa ya kusini?.
Haina impact ...HUWEZI kunielewa. Tatizo wafuasi wengi mnafata upepo tu! Hamna kitu hapo. Zima moto tu
 
Boss wake ambaye ni Maalim Sefu ameshasema Rais wao ni Lissu. Ila mjue Magufuli ndiyo Rais wa Watanzania.
Mkuu, Kwema?

Usiwe na Shaka, Magufuli ndiye anayesubiri kuapishwa, Hata wangeliungana haitasaidia kitu, Sio mara ya Kwanza kufanya hivyo, 2015 walifanya hivyo tena wakiwa na nguvu kulikoni uchaguzi huu, lakini Bado walipigwa za USO

Temu hii, watapigwa za USO Hadi manundu yatawatoka,
Magufuli kama hajashinda nipigwe Bani hapa miaka yote ya utawala huo
 
Haina impact ...HUWEZI kunielewa. Tatizo wafuasi wengi mnafata upepo tu! Hamna kitu hapo. Zima moto tu
Hapana mkuu,nafahama msimamo wako kabla ya 2015 na baada ya 2015 kwahio limelofanyika sasa, lingefanyika kabla 2015 najua ungeliunga mkono, kwahio niuhuru wako kuona hakuna impact, lakini wengi tunafaham impact ipo.
 
Migogoro ya vyama wanaipika wenyewe halafu utasikia ohh CCM ndio wanachochea migogoro ndani ya vyama

Hili la wao kuteua wagombea uraisi kwa vikao halali kabisa halafu wanakuja kuwabwaga bila kikao chochote cha kamati kuu wala mkutano mkuu.Hivi mgogoro ukilipuka mida hii ndani ya CHADEMA na ACT WAZALENDO hadi kuvikata katikati hivyo vyama watalaumu CCM kuwa ndio tumeanzisha huo mgogoro?
Kwasasa hakuna reasoning kama ilivyo chaguzi za nyuma. Ni mwendo wa kufata upepo tu ila hamna kitu! Lissu anajitahidi sana ila anapata back up ndogo sana
 
Kwani Mbowe yuko wapi?
 
Mkuu, Kwema?

Usiwe na Shaka, Magufuli ndiye anayesubiri kuapishwa, Hata wangeliungana haitasaidia kitu, Sio mara ya Kwanza kufanya hivyo, 2015 walifanya hivyo tena wakiwa na nguvu kulikoni uchaguzi huu, lakini Bado walipigwa za USO

Temu hii, watapigwa za USO Hadi manundu yatawatoka,
Magufuli kama hajashinda nipigwe Bani hapa miaka yote ya utawala huo
Kama una uhakika na unachokinena baasi weka bond kitu tangible km vile "kiboga".
Si una uhakika aisee. Maana ban kitu kidogo sana. Mi naona kiboga itapendeza zaidi
 
Hapana mkuu,nafahama msimamo wako kabla ya 2015 na baada ya 2015 kwahio limelofanyika sasa, lingefanyika kabla 2015 najua ungeliunga mkono, kwahio niuhuru wako kuona hakuna impact, lakini wengi tunafaham impact ipo.
Zimefanyika hesabu mbovu. Subiri matokeo
 
Back
Top Bottom