Uchaguzi 2020 Membe akanusha kuiunga mkono CHADEMA, yeye ndiye Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo

Anazuga tu, angalieni Body language
hivi kwanini mnalilia kusaidiwa? mnataka mpigwe na jiwe moja wote kwa pamoja?waswahili tunasema ''ukiona kenge anatoa damu masikioni ujue anakufa'' hakika ndipo chadema ilipo.
 
CCM na sheria zenu kandamizi mlizotunga mlijiona wajanja. Huku Lissu anawapiga spana huku Kachero mbobezi anaruka mitego yenu ya kisheria.

Mnasubiri Membe atangaze kumuunga mkono Lissu ili muwatumie NEC na Msajili kuviazibu vyama vyote viwili. Endeleeni kusubiria meli Dodoma.
Hivi chadema mnashngilia kitu gani kwenye hili?
 
Nilivyoona tamko linatokea Zanzibar wakati tuliambiwa mgombea anapanga baraza la mawaziri nilijua kuna moto huko.

Ilikuwa hai make sense kwa tamko la jana na utata juu mgombea wa ACT ulivyokuwa. Ilikuwa haina impact hata kwa Chadema yenyewe.

Hapo ni mtifuano ACT ambao haupoi leo then ndege tunduni. CCM ni too complicated kuwashinda kwa siasa zetu za kiafrika
 
Huyu mende mbona hafanyi kampeni sasa.....

Mradi huu wa ccm mara hii ulishindwa hata kabla haujaanza...... Walihljifanya kumfukuza uanachama ikiwa ni mipango yao kuvuruga upinzani sasa wameshindwa rasmi...
 
Hata Kama vyama vyote vya upinzani kwasasa vikiungana bado havijawa na uwezo wa kumuangusha JPM. Vyama vya upinzani mwaka huu ni dhaifu kuliko miaka yote ya Hivi karibuni.
Hii ni kama chloroquine kwa Chadema saccos Ltd.
 
Nilivyoona tamko linatokea Zanzibar wakati tuliambiwa mgombea anapanga baraza la mawaziri nilijua kuna moto huko.

Ilikuwa hai make sense kwa tamko la jana na utata juu mgombea wa ACT ulivyokuwa. Ilikuwa haina impact hata kwa Chadema yenyewe.

Hapo ni mtifuano ACT ambao haupoi leo then ndege tunduni. CCM ni too complicated kuwashinda kwa siasa zetu za kiafrika
Mkuu mbona iko wazi hio ACT&BM wanaunga mkono CDM katika uraisi, sheria za uchaguzi wa NEC ndio zinakataza kuwainga mkono kipindi hiki, BM hawezi kili hadharani kwa upande wa bara.

Lakini tujiulize mbona hapigi kampeni nje ya mikoa ya kusini?.
 
Kupitia ukurasa wa twitter Ndg. Benard Membe amekanusha kujiondoa mbio za Urais na kumuunga mkono mgombea wa Chadema.

View attachment 1576749
Hivi musiba alisoma wapi? Namanisha chuo gani na ana level gani ya elimu? Nani anamtumia musiba kuongea ujinga huu anaongea? Huwa anafanya tatmini kabla ya kuongea au baada ?
Musiba anasema yeye ni m/ huru kisha anataka Uvccm wajibu mapigo ya wapinzani?
Musiba anaigombanisha nchi na marafiki wa nje anaowaita MABEBERU leo anakanusha na kusema ni watu co nchi?
Musiba anatoa takwimu za wapiga kura pemba kisha anasema watakao mpigia kura mwinyi ni kadhaa kweli? Kwani hajui sababu za kuongeza au kupungua kwa watu ( popn ya form four ) hajui?
Anasema Tl anamtukana raisi bila kuthibitisha? Ni wapi tundu Lisu kamtukana raisi MAGUFULI? Kuhoji juu ya ndege ni kutukana, chato iliyojengwa bila kufuata sheria ya manunuzi ya umma ni kutukana? Mzalendo gani huyu
Anasema anakula kwa akili ya serikali na huwezi kuipinga ni kweli analipwa lakini kuhoji matendo ya serikali ni kufanya kosa?
Anasema zuhura yunus ni adui wa taifa! Kweli? Kamfanya nn huyu? Kuhoji kuhusu mikataba ya Madini ni kosa kiasi cha kuita haini kweli kweli?
Nchi inakwenda wapi? Musiba ni nani?
TUNDU LISU HAJASEMA ATALETA VURUGU HAPANA. HAPANA HAPANA KASEMA AKISHINDA ASIOOTANGAZWA KAMA LOWASA HAKITAELEWEKA! KAMA UCHAGUZI UTAKUWA HURU NA WA HAKI MNAOGOPA NN?
KURA KWA LISU..... MNYAPARA MPORA KOROSHO HAPANA HAPANA HAPANA
 
Siku zote mimi husema wapinzani hawapo tayari kutawala. Assume ndo umeshawapa ikulu, zitatembea ngumi ikulu itajaa damu
 
Nilivyoona tamko linatokea Zanzibar wakati tuliambiwa mgombea anapanga baraza la mawaziri nilijua kuna moto huko.

Ilikuwa hai make sense kwa tamko la jana na utata juu mgombea wa ACT ulivyokuwa. Ilikuwa haina impact hata kwa Chadema yenyewe.

Hapo ni mtifuano ACT ambao haupoi leo then ndege tunduni. CCM ni too complicated kuwashinda kwa siasa zetu za kiafrika
Mkuu ukiona chadema wanavyoshangilia humu eti Membe kamuunga mkono Lisu unaishia kusikitika tu
 
Huyu mende mbona hafanyi kampeni sasa.....

Mradi huu wa ccm mara hii ulishindwa hata kabla haujaanza...... Walihljifanya kumfukuza uanachama ikiwa ni mipango yao kuvuruga upinzani sasa wameshindwa rasmi...
Sasa wewe unasimamia kitu gani?

Maana jana ulikuwa unashangilia Seif aliposema rais wa bara ni Lisu.?

Huyu membe atawavuruga sana mpaka mtie akili
 
Mkuu mbona iko wazi hio ACT&BM wanaunga mkono CDM katika uraisi, sheria za uchaguzi wa NEC ndio zinakataza kuwainga mkono kipindi hiki, BM hawezi kili hadharani kwa upande wa bara.

Lakini tujiulize mbona hapigi kampeni nje ya mikoa ya kusini?.
Kwa hiyo membe kama haipigi kampeni itasaidia nini sasa?

Yani kwa akili zenu kabisa mnaamini Membe asipipiga kampeni ndio Lisu atashinda?
 
Hata Kama vyama vyote vya upinzani kwasasa vikiungana bado havijawa na uwezo wa kumuangusha JPM. Vyama vya upinzani mwaka huu ni dhaifu kuliko miaka yote ya Hivi karibuni.
Kama vyama upinzani ni dhaifu,Mwenyekiti wako asingefanya haya yafuatayo;
1.Kuambatana na wasanii maarufu nchi nzima kwenye mikutano yake.
2.Kutekeleza miradi ya maendeleo kipindi cha uchaguzi kinyume na maadili ya tume ya uchaguzi
3.Kutembea na vyombo vya ulinzi na usalama kutishia wananchi
4.Kuwaalika maraisi wa Uganda na Burundi kuja kumsaidia kwenye kampeni,n.k
 
Hivi musiba alisoma wapi? Namanisha chuo gani na ana level gani ya elimu? Nani anamtumia musiba kuongea ujinga huu anaongea? Huwa anafanya tatmini kabla ya kuongea au baada ?
Musiba anasema yeye ni m/ huru kisha anataka Uvccm wajibu mapigo ya wapinzani?
Musiba anaigombanisha nchi na marafiki wa nje anaowaita MABEBERU leo anakanusha na kusema ni watu co nchi?
Musiba anatoa takwimu za wapiga kura pemba kisha anasema watakao mpigia kura mwinyi ni kadhaa kweli? Kwani hajui sababu za kuongeza au kupungua kwa watu ( popn ya form four ) hajui?
Anasema Tl anamtukana raisi bila kuthibitisha? Ni wapi tundu Lisu kamtukana raisi MAGUFULI? Kuhoji juu ya ndege ni kutukana, chato iliyojengwa bila kufuata sheria ya manunuzi ya umma ni kutukana? Mzalendo gani huyu
Anasema anakula kwa akili ya serikali na huwezi kuipinga ni kweli analipwa lakini kuhoji matendo ya serikali ni kufanya kosa?
Anasema zuhura yunus ni adui wa taifa! Kweli? Kamfanya nn huyu? Kuhoji kuhusu mikataba ya Madini ni kosa kiasi cha kuita haini kweli kweli?
Nchi inakwenda wapi? Musiba ni nani?
TUNDU LISU HAJASEMA ATALETA VURUGU HAPANA. HAPANA HAPANA KASEMA AKISHINDA ASIOOTANGAZWA KAMA LOWASA HAKITAELEWEKA! KAMA UCHAGUZI UTAKUWA HURU NA WA HAKI MNAOGOPA NN?
KURA KWA LISU..... MNYAPARA MPORA KOROSHO HAPANA HAPANA HAPANA
Hivi hiki ulichoandika hapa kinahusiana vipi na hii mada
 
upinzani wa namna hii hauwezi kuitoa CCM madarakani " MUGAMBO WANARUKA NA KUKANYAGANA" teh teh teh teh
 
N
Vyama vya upinzani uache kukumbatia hawa "wasaliti" wa CCM. Wengine wanatumwa tu!
Na ninkwa nini mumlazimishe kujiunga na ninyi?
Kwa nini msiombe mzee wa ubwabwa mbina yupo free?
Kama mnataka muungano basi mumpe membe kijiti ili apeperushe bendela ya upinzani kama mnaona kuna haja na sio.kumlazimisha yeye ndo awaunge mkono.
 
Back
Top Bottom