Macos
JF-Expert Member
- May 12, 2008
- 1,979
- 1,416
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SASA UKO WAPI BABA TUNATAKA KWENDA IKULU OCTOBER 28 ASUBUHI
MEMBE NAYE YUKO BUSY anatayarisha baraza la mawaziri (zitto kabwe)Mwenyekiti wa baraza la mawaziri amefanya hivyo kule Uvinza swahiba.
Vyama vya upinzani uache kukumbatia hawa "wasaliti" wa CCM. Wengine wanatumwa tu!
Jipe moyo tuu,Hata Kama vyama vyote vya upinzani kwasasa vikiungana bado havijawa na uwezo wa kumuangusha JPM. Vyama vya upinzani mwaka huu ni dhaifu kuliko miaka yote ya Hivi karibuni.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sasa hii ndio nini?Membe anawavuruga nyinyi na sheria zenu mbovu. Mtajibeba na Msajili wenu na NEC yaani mpo kama fisi mnasubiri mkono udondoke ili mle nyama.
Membe ataendelea kukanusha Twitter lakini kampeni hapigi wala hasimami jukwaani kampeni zote za wagombea ubunge wa ACT zinazinduliwa na Zitto,hata Yale matangazo ya kuomba michango kuna picha za Zitto na Maalim Self. Mlidhani Sayansi ya siasa na figisu figisu m azijua peke yenu. Huyo ndoyo kachero mbobezi Membe.
Pole kwa kuvurugwa.... Na bado mkuu mtavurugika sn safari hii......
Membe kachero mbobezi bado pyslip yake inadoma vzr kabisa
Kwani sasa hivi huo mfumo haupo?Kuna sehemu nimesema Mimi ni CHADEMA? Mimi nataka Magufuli na chama chake chakavu mwaka huu tuwafurumushe Ikulu na 2025 tuwapeleke makumbusho ya taifa huku tukiwashukuru kwa kutuletea Uhuru kutoka mkoloni wa Kiingereza.
Baada ya miaka 60 ya Uhuru nchi yetu haihitaji kuwa na chama dola tunahitaji mfumo ambao chama kikizingua wananchi tunawafurumisha madarakani na kuweka chama kingine.
Jipe moyo tuu,
Ujuwe kuwa Mwaka huu ndio mwisho wa CCM Tanzanaia.
CCM Bye Bye
Karibu Lisu Ikulu ya Dodoma, na Magogoni Dar es Salaam
hiki ni kinyume chake na mwaka huu mtaumia kwelikweli mtalia machozi na hamtapata pa kujifichiaHata Kama vyama vyote vya upinzani kwasasa vikiungana bado havijawa na uwezo wa kumuangusha JPM. Vyama vya upinzani mwaka huu ni dhaifu kuliko miaka yote ya Hivi karibuni.
Wewe unaifahamu demokrasia? Kwa sababu ndani ya demokrasia nina haki kuwa neutral pia, ama unalazimishwa kuwa na chama kwenye demokrasia?Jitahidi uifahamu democrasia, Ni haki kila raia kujiunga na chama chochote cha siasa, kupiga kura na kupigiwa kura.
Mjitahidi kuwa wavumilivu ondoeeni neno wasaliti, ni wewe ndio unaesaliti demokrasia kwa kutotaka ifanye kazi.
Zambi aliyofanya DJ, Lisu na baadhi ya wapampe wa DJ kumkaribisha Lowasa ndio iliyo ua upinzani, Zambi ile haita waacha salama, Lisu, DJ na wapambe watailipia tena kwa maumivu makubwa.
Nimeandika na kama unaelewa wa kutosha sio kukariri utaelewa. Nakumbuka nimeandika kujibu hoja ya nani? Linganisha na huyo nani punguani namwita anachoandika na anachozungumza musiba kisha njoo nikujibu
Mm ni mtanzania napenda Tanzania sipendi majungu na uchonganishi ndo mana nasema MAGUFULI hafai kuwa raisi wa nchi hii.
Swahiba Umesikia wapi mawaziri wakifanya hivyo?