Sasa mnataka ushahidi gani?Kauli kuwa maiti ziliokotwa kwenye viroba wakati wa utawala wa hayati JPM ni kauli nzito. Sio kauli za kubeza hata kidogo.
Inaonekana Membe anaushahidi wa kutosha na ana siri nzito juu ya hizi tuhuma.
Mpaka sasa baadhi ya watanzania hawajulikani walipo. Inahisiwwa waliuwawa na kutupwa kwenye viroba. Membe ametoa msaada na mwanga mkubwa. Sasa huu ndio mwanzo na yeye awe msaada.
Huu ndio wakati wa kupata ukweli juu ya madhira mabaya ambayo Membe anadai Serikali ya CCM iliyafanya.
Huyu ‘miss Kisongo’ unadai ni mzalendo na unataka achangiwe, ni mmoja wa hao waliotekeleza suala Hilo!Kauli kuwa maiti ziliokotwa kwenye viroba wakati wa utawala wa hayati JPM ni kauli nzito. Sio kauli za kubeza hata kidogo.
Inaonekana Membe anaushahidi wa kutosha na ana siri nzito juu ya hizi tuhuma.
Mpaka sasa baadhi ya watanzania hawajulikani walipo. Inahisiwwa waliuwawa na kutupwa kwenye viroba. Membe ametoa msaada na mwanga mkubwa. Sasa huu ndio mwanzo na yeye awe msaada.
Huu ndio wakati wa kupata ukweli juu ya madhira mabaya ambayo Membe anadai Serikali ya CCM iliyafanya.
Kauli kuwa maiti ziliokotwa kwenye viroba wakati wa utawala wa hayati JPM ni kauli nzito. Sio kauli za kubeza hata kidogo.
Inaonekana Membe anaushahidi wa kutosha na ana siri nzito juu ya hizi tuhuma.
Mpaka sasa baadhi ya watanzania hawajulikani walipo. Inahisiwwa waliuwawa na kutupwa kwenye viroba. Membe ametoa msaada na mwanga mkubwa. Sasa huu ndio mwanzo na yeye awe msaada.
Huu ndio wakati wa kupata ukweli juu ya madhira mabaya ambayo Membe anadai Serikali ya CCM iliyafanya.
Umekamilisha upelelezi?Huyu ‘miss Kisongo’ unadai ni mzalendo na unataka achangiwe, ni mmoja wa hao waliotekeleza suala Hilo!
Mzalendo Sabaya achangiwe ili haki ipatikane. Shime tumchangie huyu mtanzania mwenzetu anayeonewa
Kila mwenye moyo wa kizalendo amchangie Sabaya ili apate haki yake Mahakamani hata kama anaonewa.www.jamiiforums.com
Umefafanua vyema. Kumbe Membe anaropoka tu?Ni ukweli kwamba watu walikuwa wanawekwa kwenye viroba lakini sio kweli ni Serikali ya CCM ilikuwa inahusika.
Mbowe aliteleza kwenye ngazi mpaka akateguka akiwa anarudi kilabuni kalewa chakali ,wakaanza kusema CCM lakini baadae ikajidhihirisha.
Abdul Nondo alifichwa na mwanamke Iringa wakasema katekwa kumbe kajiteka
Na hii ya juzi kabisa la Diwani wa kawe kufichwa huko Tabata ,ingekuwa kipindi kile wangesema katekwa kumbe sio.
Hoja yangu hapa ni kwamba suala hilo lina sura nyingi
Hata Chacha Wangwe ilileta UTATA sanNi ukweli kwamba watu walikuwa wanawekwa kwenye viroba lakini sio kweli ni Serikali ya CCM ilikuwa inahusika.
Mbowe aliteleza kwenye ngazi mpaka akateguka akiwa anarudi kilabuni kalewa chakali ,wakaanza kusema CCM lakini baadae ikajidhihirisha.
Abdul Nondo alifichwa na mwanamke Iringa wakasema katekwa kumbe kajiteka
Na hii ya juzi kabisa la Diwani wa kawe kufichwa huko Tabata ,ingekuwa kipindi kile wangesema katekwa kumbe sio.
Hoja yangu hapa ni kwamba suala hilo lina sura nyingi
Kwani wewe kipindi hicho haukuwepo nchini? Au ulikuwa unaimba na kusifu?Kauli kuwa maiti ziliokotwa kwenye viroba wakati wa utawala wa hayati JPM ni kauli nzito, sio kauli za kubeza hata kidogo.
Inaonekana Membe ana ushahidi wa kutosha na ana siri nzito juu ya hizi tuhuma.
Mpaka sasa baadhi ya Watanzania hawajulikani walipo. Inahisiwa waliuawa na kutupwa kwenye viroba. Membe ametoa msaada na mwanga mkubwa. Sasa huu ndio mwanzo na yeye awe msaada.
Huu ndio wakati wa kupata ukweli juu ya madhira mabaya ambayo Membe anadai Serikali ya CCM iliyafanya.
Haujazungumzia watu kukutwa kwenye viroba....au nao walikuwa wanajiweka wenyewe mwenye viroba?Ni ukweli kwamba watu walikuwa wanawekwa kwenye viroba lakini sio kweli ni Serikali ya CCM ilikuwa inahusika.
Mbowe aliteleza kwenye ngazi mpaka akateguka akiwa anarudi kilabuni kalewa chakali ,wakaanza kusema CCM lakini baadae ikajidhihirisha.
Abdul Nondo alifichwa na mwanamke Iringa wakasema katekwa kumbe kajiteka
Na hii ya juzi kabisa la Diwani wa kawe kufichwa huko Tabata ,ingekuwa kipindi kile wangesema katekwa kumbe sio.
Hoja yangu hapa ni kwamba suala hilo lina sura nyingi
CCTV camera, kesi zipo mahakamani na moja alishapigwa 30, rufaa alishinda kwa sababu ya technicalities!Umekamilisha upelelezi?