Membe ametufumbua macho kwa Serikali ya CCM kuhusu mauaji, iundwe tume huru waliohusika moja kwa moja wachukuliwe hatua

Membe ametufumbua macho kwa Serikali ya CCM kuhusu mauaji, iundwe tume huru waliohusika moja kwa moja wachukuliwe hatua

Kauli kuwa maiti ziliokotwa kwenye viroba wakati wa utawala wa hayati JPM ni kauli nzito, sio kauli za kubeza hata kidogo.

Inaonekana Membe ana ushahidi wa kutosha na ana siri nzito juu ya hizi tuhuma.

Mpaka sasa baadhi ya Watanzania hawajulikani walipo. Inahisiwa waliuawa na kutupwa kwenye viroba. Membe ametoa msaada na mwanga mkubwa. Sasa huu ndio mwanzo na yeye awe msaada.

Huu ndio wakati wa kupata ukweli juu ya madhira mabaya ambayo Membe anadai Serikali ya CCM iliyafanya.
umesahau huyo bwana ni kachero mbobozi?
 
Back
Top Bottom