Membe amwaga siri Hayati Magufuli alivyomfitini na kumkosesha Ukatibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola

Hayati Seif alimuuliza mbona picha za mfuriko kwenye kampeni unazidiwa hata na mzee wa ubwabwa?

Membe kama anajipa umaarufu huo mbona hatukona alipopata nafasi ya kugombea urais?
Hakuwa na lolote la kuwaambia watanzania kwasababu hakuwa na rekodi inayomtangaza

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
nafaham vzuri tu ndio maana nkatoa mfano wa WTO ambapo trump aliona km yule mnigeria atakua anaifavor china zaidi kuliko marekani ndio maana alitaka kublock uteuzi wake sa sijui shida iko wapi hapo?
 
nafaham vzuri tu ndio maana nkatoa mfano wa WTO ambapo trump aliona km yule mnigeria atakua anaifavor china zaidi kuliko marekani ndio maana alitaka kublock uteuzi wake sa sijui shida iko wapi hapo?

Pesa v/s Sphere of Influence

Membe alikuwa anataka pesa ajijenge kisiasa kwa msaada wa mabeberu hao v/s D. Trump alikuwa anataka mtu wake ili apate ushawishi katika chombo hiki muhimu.
 
issue sio membe au nani, issue ni mtanzania yeyote kuwapo kwe organization kubwa km hizi, tatizo unaona km namshabikia membe no, nmeongelea position km position usifungwe na siasa ukashindwa kuwa na mtazamo huru mkuu ht km angekua polepole au bashiru ingekuwa jambo jema tu
 
Mtu kihiyo pekee atamuamini huyo zoba Membe. Tangu lini hawa wapuuzi wakawa na uchungu na watu wa nchi hii zaidi ya kutanguliza maslahi yao. Mi naona kaongea utumbo wa kuku.
 
JASUSI KACHERO MBOBEZI BERNARD CAMILIUS MEMBE Kaamua atoe taarifa kwa kitumia karamu yanye wino "MWEKUNDU"
 
Msumbiji ni jirani wa kinafki nenda kaone jinsi watanzania wanavyonyanyaswa na kuteswa na askari wa msumbiji,ukisema ni mtanzania utajuta!
Sanaaa. Huyu baba ni mwehu. Anaongea uharo. Anaji-contradict yeye mwenyewe ukimsoma between the line. Aache uwongo wake kwa CV gani mpaka aukwae ukatibu wa Jumuiya ya Madola.
Ana sifa ya uchafu wa miongoni mwa majitu maroho na yanayoitafuna ya nchi hii kwa maslahi ya familia na mitandao ya madhalimu wenzao. Hawaridhiki kuiba kote huko.
 
Mtu kuandika makala ndefu yenye maneno ya membe ni kupoteza muda.

Mini nilimdharau Membe siku nyingi sana alipokuwa analilia urais. Anaonekana ana ego fulani hivi ya kuamini kuwa yuko entitled kupata vyeo. Sasa hivi anajikomba kutegemea labda Kikwete aweke pressure ili ateuliwe cheo kingine abaki kwenye spotlight.
 
Kwa Rais yeyote atakae iga vyote vya awamu ya tano ataliangamiza Taifa vipo vichache navyo viwe kwa uangalifu mkubwa nikurekebisha majeraha/uchumi/utawala wa sheria/kuondoa mpasuko wa Taifa na kusonga mbele pole sana Bwana Membe uliangukia kwenye anga mbaya.
 
Haya anayosema Membe yanaweza kuwa ya kweli au uongo ukizingatia anayasema wakati upande wa pili haupo.
"MAREHEMU asemwi mtu ukifa kitabu chako kimefungwa"
 
Pesa v/s Sphere of Influence

Membe alikuwa anataka pesa ajijenge kisiasa kwa msaada wa mabeberu hao v/s D. Trump alikuwa anataka mtu wake ili apate ushawishi katika chombo hiki muhimu.
Mtu kihiyo pekee atamuamini huyo zoba Membe. Tangu lini hawa wapuuzi wakawa na uchungu na watu wa nchi hii zaidi ya kutanguliza maslahi yao. Mi naona kaongea utumbo wa kuku.
membe ana motives zake hilo liko wazi, sema yule mdau niliemjibu yeye kadai both membe na issue ya kuongoza hizi taasisi vyote havina maana yeyote kitu ambacho si kweli, membe kadandia tu issue ya msingi akataka kutake advantage, mi nlikua tu naongelea position yenyew na si membe personally,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…