cotyledon
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 2,260
- 1,629
Magufuli alikuwa rais wa miundo mbinu. Wengine walikuwa Marais wa kitu gani.Membe upo sahihi,Rais wa miundombinu alkuwa,na watu walipotea na kupigwa risasi hadharan na kuwambia polisi hakuna kuchunguza
Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app