Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Sasa kwa nini kaichomekea? Heshima kwa nchi yake inaeleweka lakini hilo la mabilioni ya paundi........siyo fedha kwa ajili ya kudumbukiza kwenye mifuko yake au ya Watz.
..hiyo ni bajeti ya commonwealth secretariat ambayo inaongozwa na katibu mkuu wa jumuiya.
..sehemu ya fedha hizo ni kwa ajili ya MIRADI mbalimbali ktk nchi wanachama wa jumuiya.
Sasa kwa nini kaichomekea? Heshima kwa nchi yake inaeleweka lakini hilo la mabilioni ya paundi......
Watanzania tulijivunia Asha Rose alipopata cheo UN lakini sidhani kama nchi tulifaidika sana. Au Tibaijuka alipokuwa Habitat. Mbali na watu wachache kupata kazi Habitat sijui tulifaidika vipi. Hata hivyo niko tayari kuelimishwa kuhusu hili.
Amandla...
Haya mawazo yenu ya umangungo ndiyo ambayo hayawaondoi kwenye box mlilofungwa...Then ulisikia anasema kwanini anasikitika amekaosa pesa sijui ngapi?..membe alikuwa anazungumzia nafasi ya katibu mkuu wa jumuiya ya madola.
..taasisi kubwa kama hiyo kuongozwa na Mtz kuna faida zake kwa nchi yetu na watu wake.
..mwalimu nyerere alimpigania salim ahmed salim awe katibu mkuu wa Umoja wa mataifa.
..kulikoni rais magufuli akatae kumuunga mkono Mtz mwenzake kwa nafasi ya katibu mkuu wa jumuiya ya madola.
..hata kama alikuwa hamtaki membe kwanini hawakupendekeza Mtz mwingine ambaye waliona anafaa?
Wewe hupendi kusifiwa? Mbona hapa unataka uonekane mzuri kuliko yeye? Siyo sifa hizo?Magu alikuwa mtu wa visasi na kupenda kusifiwa hata kama anakosea, na wenye njaa wakajitoa ufahamu kusifia tu, ilimradi matumbo yao yanenepeshwe.
Akili za kimasikini utaziweza basi? Wakiona noti tu wanadhani mbingu imeshuka...Pesa ni media to ya flow of values kama huna kinacho flow kwako basi jua kuna kitakachoflow from kwako kwenda kwa anayejua kuzichanga karata zake...Poor my African fellows, msiteme bigG kwa karanga za kuonjaSasa kwa nini kaichomekea? Heshima kwa nchi yake inaeleweka lakini hilo la mabilioni ya paundi......
Watanzania tulijivunia Asha Rose alipopata cheo UN lakini sidhani kama nchi tulifaidika sana. Au Tibaijuka alipokuwa Habitat. Mbali na watu wachache kupata kazi Habitat sijui tulifaidika vipi. Hata hivyo niko tayari kuelimishwa kuhusu hili.
Amandla...
Ni kweli Magufuli alikuwa na roho mbaya kwa mafisadi, wala rushwa, vyeti feki, wakwepa kodi, wanyonyaji, wezi, magaidi, watumishi hewa, wavivu, wapiga madili, wahukumu uchumi,Magu alikua na roho mbaya sana tena ile kishenzi.
Lkn pia kama huyu Membe ndio wanasema aliwahi kua ni bonge la shushushu hakika tulipigwa,ni empty brain kabisa.
Ni kweli,na alikua na roho nzuri Sana kwa kina Sabaya,Makonda,Ben Saa8,Tundu lissu etcNi kweli Magufuli alikuwa na roho mbaya kwa mafisadi, wala rushwa, vyeti feki, wakwepa kodi, wanyonyaji, wezi, magaidi, watumishi hewa, wavivu, wapiga madili, wahukumu uchumi,
Ungethubutu kumuongelea akiwa hai usipotezwe ?! Acheni watu wapumue .JPM alikuwa mzalendo lakini alikuwa binadamu mwenye udhaifu mwingi wenye kuhitaji mijadala mirefu. Ameshaondoka juu ya uso wa dunia, hawezi kujitetea hivyo sio suala jema kumuongelea kwa mabaya.
Ungekuwa umekiri huu ukweli kabla hajafariki , ungekuwa sio mnafiki ila kwa kuwa ameshafariki, wewe ni mnafiki tu.JPM alikuwa mzalendo lakini alikuwa binadamu mwenye udhaifu mwingi wenye kuhitaji mijadala mirefu. Ameshaondoka juu ya uso wa dunia, hawezi kujitetea hivyo sio suala jema kumuongelea kwa mabaya.
Sidhani kama Habitat walileta miradi zaidi ya10. Ninachosema ukiwa kwenye hiyo nafasi unaangaliwa kama mwewe usipendelee nchi yako. Wengine kwa kuogopa hilo wanapunguza mpaka miradi wanayopeleka kwao. Lakini kwa kusema hivi haina maana kuwa mtanzania akiipata azuiliwe kuichukua. Kuna faida zaidi ya miradi...Nadhani Membe alitaka kuonyesha uzito wa nafasi ya katibu mkuu wa jumuiya ya madola.
..kwa uelewa wangu kuna program za un habitat zilitekelezwa hapa Tz wakati Prof.Tibaijuka akiongoza taasisi hiyo.
Nani kakudanganya kuwa JPM alikulia mazingira magumu? Alikulia maisha ya kijijini ya shamba ila hakuwa masikini kama wewe, ng'ombe walikuwepo wengi, maziwa, vyakula, sasa unazungumzia umasikini gani sheik?! Na Lincoln wa Marekani alikuwa tajiri? Uneutumia huo msemo ulioambiwa na babu yako sehemu isiyo sahihi kaka, hapo umeenda chaka.!Babu yangu aliwahi kuniambia ogopa sana mtu aliyekulia mazingira magumu siku akija kupata neema analipa kisasi kwa jimii.
Unasema aliwahi kuwa rafiki yako? Inaonekana alikupotezea kwa kuwa ulikuwa na element za uchawa kwake.! Kifupi ni njaa ndio ilikufanya ujipendekeze kwake, kwa kuligundua hilo akakukataa, alifanya vizuri mno kuwakataa chawa kama wewe.!Binafsi bado naamini magu kaacha chembechembe zake kwenye mfumo tena zakutosha.
Hapana hufanani na Wayahudi, unaonekana ni Mmalawi.! JeusiiiNdio mi ni Myahudi wa kabila la YUDA ukoo wa Yese.
Alikuwa akielewa na ndio maana alikuwa akichagua kipi cha ku-expose externally na kipi sicho. Kwa mantiki hii alikuwa anastahili kwa 100+% kuongoza TZ.!Ngosha Roho mbaya ilipunguza siku za kuishi kumbe, hakika Roho mbaya haifai kabisa,
Mzee wetu alikuwa na Chuki Sana, halafu magufuli hakufaa kuwa kiongozi wa Nchi kubwa Kama Tanzania, uelewa wake ulikuwa mdogo Sana kuhusu dunia inavyotaka na inavyoenda
Ndio inavyotakiwa hivyo. Wa-TZ wanataka maendeleo, na maendeleo hupati bila kuwa na roho mbaya kama Jiwe, upo sahihi.+Huyu mzee alikuwa na roho baya sana
Witnessj naumia juu yako, upo DSM?![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787]
Nimecheka sana, angalau huu uzi we umenichekesha
Magufuli hakuwa na chochote cha kushangaza. Hivyo viatu vyake hata yeye mwenyewe vilikuwa vinampwaya!Viatu vya JPM ni vikubwa mno kwa Maembe