Membe amwaga siri Hayati Magufuli alivyomfitini na kumkosesha Ukatibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola

Membe amwaga siri Hayati Magufuli alivyomfitini na kumkosesha Ukatibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola

..siyo fedha kwa ajili ya kudumbukiza kwenye mifuko yake au ya Watz.

..hiyo ni bajeti ya commonwealth secretariat ambayo inaongozwa na katibu mkuu wa jumuiya.

..sehemu ya fedha hizo ni kwa ajili ya MIRADI mbalimbali ktk nchi wanachama wa jumuiya.
Sasa kwa nini kaichomekea? Heshima kwa nchi yake inaeleweka lakini hilo la mabilioni ya paundi......
Watanzania tulijivunia Asha Rose alipopata cheo UN lakini sidhani kama nchi tulifaidika sana. Au Tibaijuka alipokuwa Habitat. Mbali na watu wachache kupata kazi Habitat sijui tulifaidika vipi. Hata hivyo niko tayari kuelimishwa kuhusu hili.

Amandla...
 
..Nadhani Membe alitaka kuonyesha uzito wa nafasi ya katibu mkuu wa jumuiya ya madola.

..kwa uelewa wangu kuna program za un habitat zilitekelezwa hapa Tz wakati Prof.Tibaijuka akiongoza taasisi hiyo.
 
Magu alikuwa mtu wa visasi na kupenda kusifiwa hata kama anakosea, na wenye njaa wakajitoa ufahamu kusifia tu, ilimradi matumbo yao yanenepeshwe.
 
..membe alikuwa anazungumzia nafasi ya katibu mkuu wa jumuiya ya madola.

..taasisi kubwa kama hiyo kuongozwa na Mtz kuna faida zake kwa nchi yetu na watu wake.

..mwalimu nyerere alimpigania salim ahmed salim awe katibu mkuu wa Umoja wa mataifa.

..kulikoni rais magufuli akatae kumuunga mkono Mtz mwenzake kwa nafasi ya katibu mkuu wa jumuiya ya madola.

..hata kama alikuwa hamtaki membe kwanini hawakupendekeza Mtz mwingine ambaye waliona anafaa?
Haya mawazo yenu ya umangungo ndiyo ambayo hayawaondoi kwenye box mlilofungwa...Then ulisikia anasema kwanini anasikitika amekaosa pesa sijui ngapi?
Badala ya kupigania kuiunganisha Aftica mko busy na jumuiya ya madola kama hiyo jumuiya inamaana sana na inatujali kwanini hawarudishi gold reserve waliyoiiba miaka ya ukoloni wao kwenye hizo jumuiya?

Hao wameona wanagawana resources na wenzao ndiyo sababu wanataka kurudi kwa mgongo huo kuendelea ku exploit nchi zetu...
Vizazi vyetu viachane na huu utegemezi, no free lunch in this world
 
Magu alikuwa mtu wa visasi na kupenda kusifiwa hata kama anakosea, na wenye njaa wakajitoa ufahamu kusifia tu, ilimradi matumbo yao yanenepeshwe.
Wewe hupendi kusifiwa? Mbona hapa unataka uonekane mzuri kuliko yeye? Siyo sifa hizo?
 
Sasa kwa nini kaichomekea? Heshima kwa nchi yake inaeleweka lakini hilo la mabilioni ya paundi......
Watanzania tulijivunia Asha Rose alipopata cheo UN lakini sidhani kama nchi tulifaidika sana. Au Tibaijuka alipokuwa Habitat. Mbali na watu wachache kupata kazi Habitat sijui tulifaidika vipi. Hata hivyo niko tayari kuelimishwa kuhusu hili.

Amandla...
Akili za kimasikini utaziweza basi? Wakiona noti tu wanadhani mbingu imeshuka...Pesa ni media to ya flow of values kama huna kinacho flow kwako basi jua kuna kitakachoflow from kwako kwenda kwa anayejua kuzichanga karata zake...Poor my African fellows, msiteme bigG kwa karanga za kuonja
 
Magu alikua na roho mbaya sana tena ile kishenzi.

Lkn pia kama huyu Membe ndio wanasema aliwahi kua ni bonge la shushushu hakika tulipigwa,ni empty brain kabisa.
Ni kweli Magufuli alikuwa na roho mbaya kwa mafisadi, wala rushwa, vyeti feki, wakwepa kodi, wanyonyaji, wezi, magaidi, watumishi hewa, wavivu, wapiga madili, wahukumu uchumi,
 
JPM alikuwa mzalendo lakini alikuwa binadamu mwenye udhaifu mwingi wenye kuhitaji mijadala mirefu. Ameshaondoka juu ya uso wa dunia, hawezi kujitetea hivyo sio suala jema kumuongelea kwa mabaya.
Ungekuwa umekiri huu ukweli kabla hajafariki , ungekuwa sio mnafiki ila kwa kuwa ameshafariki, wewe ni mnafiki tu.
 
..Nadhani Membe alitaka kuonyesha uzito wa nafasi ya katibu mkuu wa jumuiya ya madola.

..kwa uelewa wangu kuna program za un habitat zilitekelezwa hapa Tz wakati Prof.Tibaijuka akiongoza taasisi hiyo.
Sidhani kama Habitat walileta miradi zaidi ya10. Ninachosema ukiwa kwenye hiyo nafasi unaangaliwa kama mwewe usipendelee nchi yako. Wengine kwa kuogopa hilo wanapunguza mpaka miradi wanayopeleka kwao. Lakini kwa kusema hivi haina maana kuwa mtanzania akiipata azuiliwe kuichukua. Kuna faida zaidi ya miradi.

Amandla...
 
Membe ameongea yake sawa kabisa lakini napenda kuwahakikishia kwamba nafasi ya urais sio sawa na kazi ya kuongoza kikundi kidogo cha watu laa hasha kuna kipindi lazima utumie roho mbaya tena mbaya sana hata ikibidi kuua unatoa amri asikudanganye mtu hata wale viongozi waliochaguliwa na Mungu akina Daudi, Solomoni na wafalme wengine duniani wameua sana. Mimi pia nilifanyiwa roho mbaya na kiongozi mmoja wakati wa Nyerere alikataa kusaini tu scholarship yangu ya kwenda kusoma Italy kwa sababu haikupitia kwake Mungu si Athumani nilikutana nae Benki baada ya miaka thelathini kachoka amevaa viatu hata visigino vimeisha na kunda suti iliyopauka. Kama mtu amekufanyia roho mbaya mlipaji ni Mungu sijui huyu Membe ni Mkisto kweli!!!!
 
Babu yangu aliwahi kuniambia ogopa sana mtu aliyekulia mazingira magumu siku akija kupata neema analipa kisasi kwa jimii.
Nani kakudanganya kuwa JPM alikulia mazingira magumu? Alikulia maisha ya kijijini ya shamba ila hakuwa masikini kama wewe, ng'ombe walikuwepo wengi, maziwa, vyakula, sasa unazungumzia umasikini gani sheik?! Na Lincoln wa Marekani alikuwa tajiri? Uneutumia huo msemo ulioambiwa na babu yako sehemu isiyo sahihi kaka, hapo umeenda chaka.!
 
Binafsi bado naamini magu kaacha chembechembe zake kwenye mfumo tena zakutosha.
Unasema aliwahi kuwa rafiki yako? Inaonekana alikupotezea kwa kuwa ulikuwa na element za uchawa kwake.! Kifupi ni njaa ndio ilikufanya ujipendekeze kwake, kwa kuligundua hilo akakukataa, alifanya vizuri mno kuwakataa chawa kama wewe.!
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Ngosha Roho mbaya ilipunguza siku za kuishi kumbe, hakika Roho mbaya haifai kabisa,

Mzee wetu alikuwa na Chuki Sana, halafu magufuli hakufaa kuwa kiongozi wa Nchi kubwa Kama Tanzania, uelewa wake ulikuwa mdogo Sana kuhusu dunia inavyotaka na inavyoenda
Alikuwa akielewa na ndio maana alikuwa akichagua kipi cha ku-expose externally na kipi sicho. Kwa mantiki hii alikuwa anastahili kwa 100+% kuongoza TZ.!
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Back
Top Bottom