Ubaya huo ulihusiana na nini? Kama alikuwa ana uhusiano mbaya alipofanya ule mkutano wa SADEC Tanzania aliongelea nini? Kwahiyo wewe hukuona jinsi nchi hizo zilivyogeuka kuwa agents wa mataifa ya nje kwa faida ya hizo nchi?
Mara ngapi adui yako amekuita wewe mbaya je unakubali kuwa wewe ni mbaya kwasababu tu asiyekupenda kakupa hilo jina? Grow up man...Hii ni 21st century, vizazi vyetu havitakubali haya...watch and see....Mandela hakuitwa mbaya ti bali gaidi....Mnatirudisha nyuma mno na mawazo yenu haya ya ancestor mangungo, wenzenu tulisha toka huko zamani...Tuache uvivu tufanye kazi, mahusiano yanajengwa kwakuheshimiana siyo kwa mmona kukubali kuwa mtumwa ili apate vya dezo ambavyo havijasaidia kwa centuries...Tutaendelea kuwakataa manabii wetu mpaka lini? Wake up guys!
..hata magufuli alikuwa na umangungo fulani hivi.
..umesahau alivyokubali kishika uchumba cha usd 300 million toka barrick badala ya usd 191 billion alizodai wametuibia?
..au mabilioni aliyotumia kununua midege toka kwa mabeberu huku akipeleka fedha kiduchu kwenye sekta ya kilimo.
..magufuli ni mfano wa mangungo wa karne ya 21, na vilevile alikuwa mkatili, mdhalilishaji, na muuaji.