Membe amwaga siri Hayati Magufuli alivyomfitini na kumkosesha Ukatibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola

Membe amwaga siri Hayati Magufuli alivyomfitini na kumkosesha Ukatibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola

Ubaya huo ulihusiana na nini? Kama alikuwa ana uhusiano mbaya alipofanya ule mkutano wa SADEC Tanzania aliongelea nini? Kwahiyo wewe hukuona jinsi nchi hizo zilivyogeuka kuwa agents wa mataifa ya nje kwa faida ya hizo nchi?

Mara ngapi adui yako amekuita wewe mbaya je unakubali kuwa wewe ni mbaya kwasababu tu asiyekupenda kakupa hilo jina? Grow up man...Hii ni 21st century, vizazi vyetu havitakubali haya...watch and see....Mandela hakuitwa mbaya ti bali gaidi....Mnatirudisha nyuma mno na mawazo yenu haya ya ancestor mangungo, wenzenu tulisha toka huko zamani...Tuache uvivu tufanye kazi, mahusiano yanajengwa kwakuheshimiana siyo kwa mmona kukubali kuwa mtumwa ili apate vya dezo ambavyo havijasaidia kwa centuries...Tutaendelea kuwakataa manabii wetu mpaka lini? Wake up guys!

..hata magufuli alikuwa na umangungo fulani hivi.

..umesahau alivyokubali kishika uchumba cha usd 300 million toka barrick badala ya usd 191 billion alizodai wametuibia?

..au mabilioni aliyotumia kununua midege toka kwa mabeberu huku akipeleka fedha kiduchu kwenye sekta ya kilimo.

..magufuli ni mfano wa mangungo wa karne ya 21, na vilevile alikuwa mkatili, mdhalilishaji, na muuaji.
 
Kuona mtu mwingine ana roho mbaya na ukatili ni mtazamo wa mtu binafsi.
Na utakuta yeye huyo ndiyo mwizi namba moja wa mali ya umma jambo linalosababisha maelefu kuendelea kufa kila dakika kwakukosa dawa na lishe bora; hilo haoni kuwa ni roho mbaya...Yule anayemzuia kufanya hizo mass killings ndiyo anayeonekana na roho mbaya....Kwa Roho mbaya ya JPM unadhani ni akina mama wangapi kwakupata huduma wame save maisha yao? Watoto wangapi wa masikini ambao wamekuwa enroled angalau watajua kusoma matangazo ambayo yatasaidia kupata some basics tofauti na hilo? Ubaya ni jina kila mtu aweza liita....
 
..hata magufuli alikuwa na umangungo fulani hivi.

..umesahau alivyokubali kishika uchumba cha usd 300 million toka barrick badala ya usd 191 billion alizodai wametuibia?

..au mabilioni aliyotumia kununua midege toka kwa mabeberu huku akipeleka fedha kiduchu kwenye sekta ya kilimo.

..magufuli ni mfano wa mangungo wa karne ya 21, na vilevile alikuwa mkatili, mdhalilishaji, na muuaji.
Kasome kitu kinaitwa integrative negotiation vs distributive negotiation uje ku revisit ulichoandika hapa; tumezoezwa zero sum game theory ndiyo maana inapokuja kwenye win-win huoni kuwa it was better that way than to loose it all; angefanyeje kama mlishaingia mikataba ya ki mangungo?...Magu ni viwango vingine historia itakuja kueleza haya give it time!
 
Kasome kitu kinaitwa integrative negotiation vs distributive negotiation uje ku revisit ulichoandika hapa...Magu ni viwango vingine historia itakuja kueleza haya give it time!

..magu alikuwa mangungo yule.

..magu ametumia fedha nyingi kununua ndege toka kwa mabeberu kuliko alizowekeza ktk ukarabati wa bandari ya dsm?

..alijifanya mzalendo wa maneno, lakini kibaraka na msaliti ktk matendo yake.
 
Na utakuta yeye huyo ndiyo mwizi namba moja wa mali ya umma jambo linalosababisha maelefu kuendelea kufa kila dakika kwakukosa dawa na lishe bora; hilo haoni kuwa no roho mbaya...Yule anayemzuia kfanya hizo mass killings ndiyo anayeonekana na roho mbaya....Kwa Roho mbaya ya JPM unadhani ni akina mama wangapi kwakupata huduma wa save maisha yao? Watoto wangapi wa masikini ambao wamekuwa enroled angalau watajua kusoma matangazo ambayo yatasaidia kupata some basics tofauti na hilo? Ubaya ni jina kila mtu aweza liita....
Nakubaliana na wewe cha msingi kila mtu ana mazuri na mabaya yake, tumshukuru Mungu kwa kuwa alitupatia JPM ili kusudio lake litimie na amemchukua wameingia wengine tushukuru kwa hilo na tusonge mbele.

Tumuache huyu Mzee wetu apumzike kwa amani.
 
Yeye apumzike kwa amani, tunaoendeleza mazuri yake hatutaacha kuwajibu hawa wanga wanaom demonize hayati Rais wetu
 
Kwakua umesema wewe au kwakua outcomes zinaji show case zenyewe? Any way mdomo ni wako, vidole pia na bundle la kuandika humu, sasa unategemea nitakuzuiaje kwamfano kusema kinachofurahisha masikio yako?

..midege toka kwa mabeberu imetugharimu fedha nyingi kuliko ukarabati wa bandari ya dsm.
 
..midege toka kwa mabeberu imetugharimu fedha nyingi kuliko ukarabati wa bandari ya dsm.
Hujui unachokisema...Naona na discuss na mtu ambaye hatuna fellowship...Ebu niambie mchango wa ndege kwenye uchumi wa jumla kisha linganisha na bandari...Au kwakua bandari inakusanya kupeleka kwa wakoloni hiyo same concept bado inatawala subconscious yako?

Basi jua kwamba hakununua ndege ije i service familiy au private business yake bali generations za Tanzania kwahiyo diacounting facto aliyotumia ni ndogo akijua kuwa spill over ya ndege na multiplier effects lazima zi sukume isoquant ya nchi kwenda kulia na hiyo tu ingelipa hiyo gharama ya ndege kama vile kwenda kununua chumvi...Tatizo letu ni kutokuwa na uwezo wa kuvisualize vitu na ku integrate kama alivyojaliwa....Ndiyo hasara ya kuwa na nchi isiyo jali experts opinion kwenye maamuzi yake bali kuangalia tu short terms outcomes kwaajili ya ku win elections
 
Yeye apumzike kwa amani, tunaoendeleza mazuri yake hatutaacha kuwajibu hawa wanga wanaom demonize hayati Rais wetu
Na wanaposema mabaya yake myapokee kwakuwa hakuwa malaika hebu chukueni hayo mabaya kama "research gap" ili siku za mbeleni tukipata wa kufanania naye (kama atapatikana lakini) apunguze hayo madhaifu.

Hata JK Nyerere alikuja na kitabu cha "TUJISAHIHISHE" means aligundua kuna vitu vilifanyika lakini havikuwa sawa. Kuadmit kosa sio ujinga wala udhaifu kinyume na hapo ni ARROGANCE.
 
Hujui unachokisema...Naona na discuss na mtu ambaye hatuna fellowship...Ebu niambie mchango wa ndege kwenye uchumi wa jumla kisha linganisha na bandari...Au kwakua bandari inakusanya kupeleka kwa wakoloni hiyo same concept bado inatawala subconscious yako?

Basi jua kwamba hakununua ndege ije i service familiy au private business yake bali generations za Tanzania kwahiyo diacounting facto aliyotumia ni ndogo akijua kuwa spill over ya ndege na multiplier effects lazima zi sukume isoquant ya nchi kwenda kulia na hiyo tu ingelipa hiyo gharama ya ndege kama vile kwenda kununua chumvi...Tatizo letu ni kutokuwa na uwezo wa kuvisualize vitu na ku integrate kama alivyojaliwa....Ndiyo hasara ya kuwa na nchi isiyo jali experts opinion kwenye maamuzi yake bali kuangalia tu short terms outcomes kwaajili ya ku win elections

..hivi unaamini ATCL inatupatia mapato makubwa kuliko TPA?

..ndivyo alivyowalaghai wakati akitumia fedha nyingi kununua midege kuliko kuboresha bandari?
 
Na wanaposema mabaya yake myapokee kwakuwa hakuwa malaika hebu chukueni hayo mabaya kama "research gap" ili siku za mbeleni tukipata wa kufanania naye (kama atapatikana lakini) apunguze hayo madhaifu.

Hata JK Nyerere alikuja na kitabu cha "TUJISAHIHISHE" means aligundua kuna vitu vilifanyika lakini havikuwa sawa. Kuadmit kosa sio ujinga wala udhaifu kinyume na hapo ni ARROGANCE.
Wapi alikataa kuwa hakosei? Mara ngapi alielezea hilo? Kama kila mtu ana mabaya yake what our culture says about marehemu? Hata natural justice hamtoi kwa nafsi yake then you come.pretending mnajua justice ninyi? Wabaya ni watu aina yenu ku amplify mabaya badala ya mazuri knowingly hakupata nafasi ya kuwa nje ya uwanja na kuji evaluate kama Nyerere alivyopata? Nyerere aliandika kitabu hicho alipokufa? Je alikiandika alipokuwa madarakani? Do you hear yourself? Leo Nayerere huyu huyu amekuwa mzuri as if hakuwa akiwa labled dictator soon after his regime ended? Alisemwa kwa miaka mingapi huyo? Acheni uswahili, hausaidii, do what you ought to and let the soul of our dear hayati rest where it deserves...Mungu amhukumu kwa haki yake na si wanadamu sisi!
 
..hivi unaamini ATCL inatupatia mapato makubwa kuliko TPA?

..ndivyo alivyowalaghai wakati akitumia fedha nyingi kununua midege kuliko kuboresha bandari?
What is mapato makubwa by the way...Ebu niambie kwanza unachokimaanisha...Unajua tofauti ya financial na economic analyses? Nitakusaidia salary kwa finance ni cost which means siyo pato/faida lakini kwa economics ni pato kwakua humo kuna employment... Kwahiyo kabla ya kuja na ngonjera za cash kwanza niambia uchumi wa ndege na bandari unavyokuwa determined...

Labda nikusaidie ku reason...Mapato ya kusafirisha makontena ya mchanga wa gold ni kiasi gani kupitia bandari ukilingamisha na thamani ya huo mchanga unaosafirishwa kwenda nje? In the same way kama ndege ikitumiwa locally ku enhance flow of values kutoka farm gates i.e mashambani kwenda kwa consumer i.e mijini ni watanzania wangapi hali zao za maisha zitaboreka ukilinganisha na mapato ya cash vs hasara ya kusafirisha huo mchanga kwa raia wa nchi hii? Kwahiyo huwezi kusema eti ndege ni hasara ila bandari ni faida huku ukijua kwamba zote ni means of transport lakini ipi ambayo ina flexibility zaidi ya nyingine na ina link vipi na maisha ya kawaida ya wananchi....Kwahiyo huwezi kufanya hayo mahesabau yako ya absolute figures ukaja na conclusion kiwa mapato ya bandari ni makubwa kuliko ndege...By the way kwani alifunga bandari ili akanunue ndege? Mbona aliziboresha zote kila moja kwa malengo yake mahususi?
 
What is mapato makubwa by the way...Ebu niambie kwanza unachokimaanisha...Unajua tofauti ya financial na economic analyses? Nitakusaidia salary kwa finance ni cost which means siyo pato/faida lakini kwa economics ni pato kwakua humo kuna employment... Kwahiyo kabla ya kuja na ngonjera za cash kwanza niambia uchumi wa ndege na bandari unavyokuwa determined...
..unaamini atcl ina mchango mkubwa kwa uchumi wetu kuliko mamlaka ya bandari?
 
Wapi alikataa kuwa hakosei? Mara ngapi alielezea hilo? Kama kila mtu ana mabaya yake what our culture says about marehemu? Hata natural justice hamtoi kwa nafsi yake then you come.pretending mnajua justice ninyi? Wabaya ni watu aina yenu ku amplify mabaya badala ya mazuri knowingly hakupata nafasi ya kuwa nje ya uwanja na kuji evaluate kama Nyerere alivyopata? Nyerere aliandika kitabu hicho alipokufa? Je alikiandika alipokuwa madarakani? Do you hear yourself? Leo Nayerere huyu huyu amekuwa mzuri as if hakuwa akiwa labled dictator soon after his regime ended? Alisemwa kwa miaka mingapi huyo? Acheni uswahili, hausaidii, do what you ought to and let the soul of our dear hayati rest where it deserves...Mungu amhukumu kwa haki yake na si wanadamu sisi!
Tatizo umeweka mahaba mbele kiasi unashindwa kuona mbele, tatizo lipo pale mnapojaribu kusifia kwa kutweza wengine na wao wanapojibu kwa kukumbushia negatives basi muwe na ngozi ya kiboko.

Suala la alijisahihisha akiwa hai sawa ila kwa waliofuata walipaswa kujua kumbe kunakukosea tunapokuwa tunaongoza hivyo ili kuepuka makosa kutokuwa mengi, tusikilize kutoka kwa wale wanaotutazama na kutukosoa, tatizo linakuja pale utakaposema (Mimi ukinishauri ndio unaharibu) hiki sasa kinakuwa ni kiburi.
 
Unajua tofauti ya financial na economic analyses? Nitakusaidia salary kwa finance ni cost which means siyo pato/faida lakini kwa economics ni pato kwakua humo kuna employment... Kwahiyo kabla ya kuja na ngonjera za cash kwanza niambia uchumi wa ndege na bandari unavyokuwa determined...

[emoji106]
 
..unaamini atcl ina mchango mkubwa kwa uchumi wetu kuliko mamlaka ya bandari?
Siyo naamini, hii siyo dini ni fact...Kwahiyo kinachotakiwa hapo siyo kuamini bali ni kutumia hizo meabs appropriately kuleta faida kwa raia na siyo kama ilivyodhamiriwa huko enzi za ukoloni ambapo bandari ilitumiwa kuwa ndiyo gate kuu ya kutoroshea utajiri wa nchi za makoloni...Hiyo mifumo bado ina operate mpaka leo ndiyo sababu mnatumika pasipojukua kukwamisha maendeleo ya nchi yenu kwakulishwa maneno kama parrots!
 
Tatizo umeweka mahaba mbele kiasi unashindwa kuona mbele, tatizo lipo pale mnapojaribu kusifia kwa kutweza wengine na wao wanapojibu kwa kukumbushia negatives basi muwe na ngozi ya kiboko.

Suala la alijisahihisha akiwa hai sawa ila kwa waliofuata walipaswa kujua kumbe kunakukosea tunapokuwa tunaongoza hivyo ili kuepuka makosa kutokuwa mengi, tusikilize kutoka kwa wale wanaotutazama na kutukosoa, tatizo linakuja pale utakaposema (Mimi ukinishauri ndio unaharibu) hiki sasa kinakuwa ni kiburi.
Nani amemtweza nani? Au unaishi kwa hisia? Walioanza kumtweza mwenzao nani?

Tatizo ni kuwa facts zake zinajitetea kuliko maneno yao mengi yasiyo na viti vyaku show case...Trying to act smart and playing victims...
 
Siyo naamini, hii siyo dini ni fact...Kwahiyo kinachotakiwa hapo siyo kuamini bali ni kutumia hizo meabs appropriately kuleta faida kwa raia na siyo kama ilivyodhamiriwa huko enzi za ukoloni ambapo bandari ilitumiwa kuwa ndiyo gate kuu ya kutoroshea utajiri wa nchi za makoloni...Hiyo mifumo bado ina operate mpaka leo ndiyo sababu mnatumika pasipokukua kukwamisha maendeleo ya nchi yenu kwakulishwa maneno kama parrots!

..nabii yenu ndiye aliyekuwa akikwamisha maendeleo yetu.

..alitumia matrilioni kununua midege toka kwa mabeberu huku sekta kubwa kama kilimo ikiwa imepangiwa bajeti kiduchu.

..sasa huko sio kutorosha utajiri na fedha za Watz kwenda kwa mabeberu? je, ndege zina mchango mkubwa kuliko kilimo?
 
Back
Top Bottom