Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
- Thread starter
-
- #21
Achana na huyo boya wa ccm kaleta uzi wa kejeli.
Membe atakuwa basha wakoNimefuatilia na kumsikiliza kwa makini sana Mh.Membe(jasusi mbobezi) na nimekubaliana nae kuwa anaweza kuwa mtu sahihi sana kuliko wagombea wengine wa upinzani.
Membe ana uwezo wa kujenga hoja na ikakubalika hii ni kutokana na ujasusi wake hivyo ni faida kubwa sana kwa upinzani
Membe ana utumishi uliotukuka ukilinganisha na wagombea wengine wa upinzani, hivyo kuna faida nyingi kuwa mgombea wetu wa upinzani.
Membe ni mwanadiplomasia nguli na anaweza kuirudisha Tanzania mahali ilipokuwa kimataifa.
Membe ni karata turufu sana kwa wakati huu kwa kuwa ameshajimbambanua kupambana na Magu, hivyo ameshajiandaa na uraisi.
Upinzani tumpe nafasi membe apeperushe bendera yetu kuliko kuwaachia wengine ambao sidhani kama wana ushawishi kama Membe
#2020upinzani na jasusi mbobezi#
Watu wanaweka nguzu nyingi kwenye wasifu wa mtu binafsi kuliko sera za vyama. Bila sera madhubuti na malengo yanayofikika, hata aje malaika hawezi kutuvusha.
Membe atakuwa basha wako
Yawezekana lakini naona ni yale yale ya lowasaaMembe ana uwezo wa kuendana na matakwa yote ya upinzani, ni msikivu na ana busara
Nimefuatilia na kumsikiliza kwa makini sana Mh.Membe(jasusi mbobezi) na nimekubaliana nae kuwa anaweza kuwa mtu sahihi sana kuliko wagombea wengine wa upinzani.
Membe ana uwezo wa kujenga hoja na ikakubalika hii ni kutokana na ujasusi wake hivyo ni faida kubwa sana kwa upinzani
Membe ana utumishi uliotukuka ukilinganisha na wagombea wengine wa upinzani, hivyo kuna faida nyingi kuwa mgombea wetu wa upinzani.
Membe ni mwanadiplomasia nguli na anaweza kuirudisha Tanzania mahali ilipokuwa kimataifa.
Membe ni karata turufu sana kwa wakati huu kwa kuwa ameshajimbambanua kupambana na Magu, hivyo ameshajiandaa na uraisi.
Upinzani tumpe nafasi membe apeperushe bendera yetu kuliko kuwaachia wengine ambao sidhani kama wana ushawishi kama Membe
#2020upinzani na jasusi mbobezi#
Hapo ndio unaona umetuchota mawazo na akili zako za kiccm! Hata kama umeleta huu uzi kwa kejeli, kwanini usimkejeli huyo Membe aanzishe chama chake ili huo ubobezi wake uonekane? Au yeye ubobezi wake unaweza kuonekana kwenye vyama vya wanaume wenzake tu?
Huyu Membe akigundua hawa janja janja CCM wameiba kura sidhani kama atakubali usuluhishi kama alivyofanya lowassa...
Upinzani jaribuni kete yenu kwa Membe huwenda akawatoa kimasomaso...
Yawezekana lakini naona ni yale yale ya lowasaa
Lowasa hakuwa jasusiTuliza akili bro, huyu jamaa ni jasusi na ana mbinu zote za kuwezesha upinzani kushinda uraisi mwaka huu. Ni karata turufu
Membe aje CDM na asiwe na masharti yoyote, tunamkaribisha kama mtu mwingine mwenye kupenda mabadiliko na kuchukizwa na udikteta. Kama atapenda kugombea nafasi yoyote ndani ya CDM anakaribishwa sana. Ni mtu jasiri na anaonesha njia kwa wale waoga waliojificha ccm kwamba unaweza kutoka ccm pia na ukaishi.Nimefuatilia na kumsikiliza kwa makini sana Mh.Membe(jasusi mbobezi) na nimekubaliana nae kuwa anaweza kuwa mtu sahihi sana kuliko wagombea wengine wa upinzani.
Membe ana uwezo wa kujenga hoja na ikakubalika hii ni kutokana na ujasusi wake hivyo ni faida kubwa sana kwa upinzani
Membe ana utumishi uliotukuka ukilinganisha na wagombea wengine wa upinzani, hivyo kuna faida nyingi kuwa mgombea wetu wa upinzani.
Membe ni mwanadiplomasia nguli na anaweza kuirudisha Tanzania mahali ilipokuwa kimataifa.
Membe ni karata turufu sana kwa wakati huu kwa kuwa ameshajimbambanua kupambana na Magu, hivyo ameshajiandaa na uraisi.
Upinzani tumpe nafasi membe apeperushe bendera yetu kuliko kuwaachia wengine ambao sidhani kama wana ushawishi kama Membe
#2020upinzani na jasusi mbobezi#
Tumeambiana hewala bwana kwa miaka 58, ndio hapa tumefika....Membe ana uwezo wa kuendana na matakwa yote ya upinzani, ni msikivu na ana busara
Kunitukana hakukusaidii chochote, kama humpendi Membe hama upinzani. Kwanza sio lazima wewe kuwa upinzani
#upinzani 2020 twende na membe jasusi mbobezi#
Membe siyo CCM, ni mtu huru, alishafukuzwa CCM.
Membe ni tofauti na Lowasa, Lowasa alishindwa kuikosoa CCM akiwa ndani, wakati Membe kamkomalia jiwe humohumo ndani ya CCM.
Kwa kweli Membe ni mpinzani kuliko Waitara, Kafulila, Katambi, Kitila Mkumbo, Mtatiro, Dr Slaa, Mama Mghwira na wengine wengi waliounga mkono juhudi!
Siko CCM / Upinzani ila kama Watanzania ambao nawakubali kwa Uwerevu na Umakini wakimchagua Membe kuwa Rais Wao Nitawadharau mno.
Membe aje CDM na asiwe na masharti yoyote, tunamkaribisha kama mtu mwingine mwenye kupenda mabadiliko na kuchukizwa na udikteta. Kama atapenda kugombea nafasi yoyote ndani ya CDM anakaribishwa sana. Ni mtu jasiri na anaonesha njia kwa wale waoga waliojificha ccm kwamba unaweza kutoka ccm pia na ukaishi.
Uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara. Kama alifukuzwa ccm angeanzisha chama chake ili aje apambane na ccm. Hilo zee labda liishie huko huko ACT, Cdm wasithubutu kabisa kushirikiana na huyo mzee muhuni mwingine toka ccm. Kutenda kosa si kosa, bali kurudia kosa. Wapinzani tuunganishe nguvu zetu kudai tume huru ya uchaguzi, na sio kuungana ili kuongozwa na hiyo mizee mihuni ya ccm.