Uchaguzi 2020 Membe anaweza kutuvusha upinzani kuliko Lissu

Nimefuatilia na kumsikiliza kwa makini sana Mh.Membe(jasusi mbobezi) na nimekubaliana nae kuwa anaweza kuwa mtu sahihi sana kuliko wagombea wengine wa upinzani.
Membe ana uwezo wa kujenga hoja na ikakubalika hii ni kutokana na ujasusi wake hivyo ni faida kubwa sana kwa upinzani
Membe ana utumishi uliotukuka ukilinganisha na wagombea wengine wa upinzani, hivyo kuna faida nyingi kuwa mgombea wetu wa upinzani.
Membe ni mwanadiplomasia nguli na anaweza kuirudisha Tanzania mahali ilipokuwa kimataifa.
Membe ni karata turufu sana kwa wakati huu kwa kuwa ameshajimbambanua kupambana na Magu, hivyo ameshajiandaa na uraisi.
Upinzani tumpe nafasi membe apeperushe bendera yetu kuliko kuwaachia wengine ambao sidhani kama wana ushawishi kama Membe
#2020upinzani na jasusi mbobezi#
Membe atakuwa basha wako
 
Membe ana uwezo wa kuendana na matakwa yote ya upinzani, ni msikivu na ana busara
Watu wanaweka nguzu nyingi kwenye wasifu wa mtu binafsi kuliko sera za vyama. Bila sera madhubuti na malengo yanayofikika, hata aje malaika hawezi kutuvusha.
 
Jasusi mbobezi yupo kazini. Anakwenda kuigawa kambi ya upinzani vipande vipande. Atawagawa wanachama, atawagawa viongozi na atavigawa vya kwa faida na maslahi mapana ya chama chake cha zamani
 
Nimefuatilia na kumsikiliza kwa makini sana Mh.Membe(jasusi mbobezi) na nimekubaliana nae kuwa anaweza kuwa mtu sahihi sana kuliko wagombea wengine wa upinzani.
Membe ana uwezo wa kujenga hoja na ikakubalika hii ni kutokana na ujasusi wake hivyo ni faida kubwa sana kwa upinzani
Membe ana utumishi uliotukuka ukilinganisha na wagombea wengine wa upinzani, hivyo kuna faida nyingi kuwa mgombea wetu wa upinzani.
Membe ni mwanadiplomasia nguli na anaweza kuirudisha Tanzania mahali ilipokuwa kimataifa.
Membe ni karata turufu sana kwa wakati huu kwa kuwa ameshajimbambanua kupambana na Magu, hivyo ameshajiandaa na uraisi.
Upinzani tumpe nafasi membe apeperushe bendera yetu kuliko kuwaachia wengine ambao sidhani kama wana ushawishi kama Membe
#2020upinzani na jasusi mbobezi#

Siko CCM / Upinzani ila kama Watanzania ambao nawakubali kwa Uwerevu na Umakini wakimchagua Membe kuwa Rais Wao Nitawadharau mno.
 
Kwanza kunipa chama unakosea sana, upinzani upo mioyoni mwetu, hatunaga sana siasa za uvyama
Pili, Membe anwezaje kuanzisha chama sasa ivi? Lengo la upinzani ni kupata candidate mzuri ambaye anaweza kutuvusha kwa huyu jiwe na Membe ndio karata turufu kwa sasa
Upinzani tupo tayari kuunganisha nguvu na mtu yoyote ambae yupo tayari kumuondoa jiwe
Hapo ndio unaona umetuchota mawazo na akili zako za kiccm! Hata kama umeleta huu uzi kwa kejeli, kwanini usimkejeli huyo Membe aanzishe chama chake ili huo ubobezi wake uonekane? Au yeye ubobezi wake unaweza kuonekana kwenye vyama vya wanaume wenzake tu?
 
Huyu ndio mtu sahihi wa kutuvusha kwenye siasa za wakti huu
Huyu Membe akigundua hawa janja janja CCM wameiba kura sidhani kama atakubali usuluhishi kama alivyofanya lowassa...

Upinzani jaribuni kete yenu kwa Membe huwenda akawatoa kimasomaso...
 
Nimefuatilia na kumsikiliza kwa makini sana Mh.Membe(jasusi mbobezi) na nimekubaliana nae kuwa anaweza kuwa mtu sahihi sana kuliko wagombea wengine wa upinzani.
Membe ana uwezo wa kujenga hoja na ikakubalika hii ni kutokana na ujasusi wake hivyo ni faida kubwa sana kwa upinzani
Membe ana utumishi uliotukuka ukilinganisha na wagombea wengine wa upinzani, hivyo kuna faida nyingi kuwa mgombea wetu wa upinzani.
Membe ni mwanadiplomasia nguli na anaweza kuirudisha Tanzania mahali ilipokuwa kimataifa.
Membe ni karata turufu sana kwa wakati huu kwa kuwa ameshajimbambanua kupambana na Magu, hivyo ameshajiandaa na uraisi.
Upinzani tumpe nafasi membe apeperushe bendera yetu kuliko kuwaachia wengine ambao sidhani kama wana ushawishi kama Membe
#2020upinzani na jasusi mbobezi#
Membe aje CDM na asiwe na masharti yoyote, tunamkaribisha kama mtu mwingine mwenye kupenda mabadiliko na kuchukizwa na udikteta. Kama atapenda kugombea nafasi yoyote ndani ya CDM anakaribishwa sana. Ni mtu jasiri na anaonesha njia kwa wale waoga waliojificha ccm kwamba unaweza kutoka ccm pia na ukaishi.
 
Membe ana uwezo wa kuendana na matakwa yote ya upinzani, ni msikivu na ana busara
Tumeambiana hewala bwana kwa miaka 58, ndio hapa tumefika....

NANUKUU: Kama ukuta wa Mererani ungejengwa tokea 1961, leo hii tungekuwa wapi?
 
Membe siyo CCM, ni mtu huru, alishafukuzwa CCM.

Membe ni tofauti na Lowasa, Lowasa alishindwa kuikosoa CCM akiwa ndani, wakati Membe kamkomalia jiwe humohumo ndani ya CCM.

Kwa kweli Membe ni mpinzani kuliko Waitara, Kafulila, Katambi, Kitila Mkumbo, Mtatiro, Dr Slaa, Mama Mghwira na wengine wengi waliounga mkono juhudi!
 
Uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara. Kama alifukuzwa ccm angeanzisha chama chake ili aje apambane na ccm. Hilo zee labda liishie huko huko ACT, Cdm wasithubutu kabisa kushirikiana na huyo mzee muhuni mwingine toka ccm. Kutenda kosa si kosa, bali kurudia kosa. Wapinzani tuunganishe nguvu zetu kudai tume huru ya uchaguzi, na sio kuungana ili kuongozwa na hiyo mizee mihuni ya ccm.
 
We jiandae kudharau tu ila Membe ndio raisi wako
Siko CCM / Upinzani ila kama Watanzania ambao nawakubali kwa Uwerevu na Umakini wakimchagua Membe kuwa Rais Wao Nitawadharau mno.
 
Sio kukaribishwa tu bali kugombea, Twendw na Membe 2020
Membe aje CDM na asiwe na masharti yoyote, tunamkaribisha kama mtu mwingine mwenye kupenda mabadiliko na kuchukizwa na udikteta. Kama atapenda kugombea nafasi yoyote ndani ya CDM anakaribishwa sana. Ni mtu jasiri na anaonesha njia kwa wale waoga waliojificha ccm kwamba unaweza kutoka ccm pia na ukaishi.
 
Wewe kama hauko tayari kumsupport jasusi Membe basi kaa pembeni tu, upinzani tuko vizuri na tuko imara na tunaenda na Membe jasusi mbobezi
Uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara. Kama alifukuzwa ccm angeanzisha chama chake ili aje apambane na ccm. Hilo zee labda liishie huko huko ACT, Cdm wasithubutu kabisa kushirikiana na huyo mzee muhuni mwingine toka ccm. Kutenda kosa si kosa, bali kurudia kosa. Wapinzani tuunganishe nguvu zetu kudai tume huru ya uchaguzi, na sio kuungana ili kuongozwa na hiyo mizee mihuni ya ccm.
 
Uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara. Kama alifukuzwa ccm angeanzisha chama chake ili aje apambane na ccm. Hilo zee labda liishie huko huko ACT, Cdm wasithubutu kabisa kushirikiana na huyo mzee muhuni mwingine toka ccm. Kutenda kosa si kosa, bali kurudia kosa. Wapinzani tuunganishe nguvu zetu kudai tume huru ya uchaguzi, na sio kuungana ili kuongozwa na hiyo mizee mihuni ya ccm.

Miaka mitano iliyopita wapinzani uliowaamini sana leo wamehamia CCM!

kwa hiyo Chill out, Siasa ni sayansi, ni mchezo wa kuzichanga karata kwa hiyo stay tuned watch the game!.

Hata Maalim Seif amewahi kuwa CCM leo ni mpinzani nguli.

Kama Nyalandu aliyetokea CCM anataka urais kupitia Chadema kwa nini Membe kama akijiunga upinzani asiwe na haki hiyo?
 
Back
Top Bottom