Uchaguzi 2020 Membe anaweza kutuvusha upinzani kuliko Lissu

Membe ndio chaguo la watanzania, upinzani tupo pamoja naye
 
Tuliza akili bro, huyu jamaa ni jasusi na ana mbinu zote za kuwezesha upinzani kushinda uraisi mwaka huu. Ni karata turufu
Na ndio maana wana CCM humu JF wanamlilia Jasusi Membe kwa hali na mali awe rais kupitia CCM.
 
Tuliza akili bro, huyu jamaa ni jasusi na ana mbinu zote za kuwezesha upinzani kushinda uraisi mwaka huu. Ni karata turufu
Umesahau kuwaambia kuwa inawezekana kinachoendelea ni mchakato wa kijajusi.

Idadi ndogo sana ya watu wanaweza kuelewa
 
Kuzidi Lowasa? Sidhani! Unfortunately hataweza kugombea maana CCM wamemfungia .. blocked. Upinzania labda ACT, CDM wanaogopa mjusi baada ya kuumwa na Nyoka Lowasa
Na Membe baada ya kuona Chadema wamemshtukia janja yake anaanza story za wapinzani watengeneze 'Grand Coalition' bla bla blah kibao.

Once a Spy always a Spy.
 
Aende Tadea maana tayari kipo, na kwakuwa ana mvuto tutaona hizo kura atakazozipeleka.
 
Kwa nn aende tadea? Membe kazi yake ninkuongeza nguvu kwenye chama chenye nguvu, hivyo chadema ni sehemu sahihi kabisa kwa huyu jasusi mbobezi
Aende Tadea maana tayari kipo, na kwakuwa ana mvuto tutaona hizo kura atakazozipeleka.
 
Nani akafanye yale yale ya kupigwa jua mnampigia EL kura kidogo anasema narudi nyumbani.

Acha tukomae na "Magufuli" itajulikana mbele kwa mbele.

Safari hii hamnipati eti membe, sidanganyiki.
 
atafanya nini? hana jeshi kuwa ngoja nikiwashe... atafanya nini? Maalim Seif alifanya nini?

Kwa hiyo mnategemea vyombo vya ulinzi kushika nchi. Kama Mh. Rais kafanya mambo mazuri yanini mtegemee vyombo vya dola kuingia ikulu? kwanini msiache free and fair election izungumze..

Ukweli ni uleule bila mbeleko za vyombo vya ulinzi CCM ni mdogo sana kwa vyama vya upinzani...
 
Bora mpinzani ninayemuamini sana ahamie ccm, kuliko kumuamini mgombea toka ccm. Sina popote ninapomkubali Nyalandu. Membe ajiunge TADEA au APPT MAENDELEO maana hao wote ni upinzani ili tuone huo mvuto wake.
 
Maalim Seif alikuwa CCM na ninamkubali sana
 
Kwa nn aende tadea? Membe kazi yake ninkuongeza nguvu kwenye chama chenye nguvu, hivyo chadema ni sehemu sahihi kabisa kwa huyu jasusi mbobezi

Cdm kina nguvu tayari hakihitaji nguvu yake, akawape TADEA ndio wanahitaji nguvu. Nani kakuambia nguvu za chama zinaletwa na wazee? Hamna jasusi mzee we dogo, huyo ni mstaafu kama wastaafu wengine, huu ni muda wa yeye kupambana na kisukari, na sio kuja kujaza nafasi za vijana.
 
Amvukishe nani wakati Tanzania tayari TULISHAVUKISHWA NA magufuli?
Pamoja na hilo tayari tuko kwenye uchumi wa kati.
 
Maalim Seif alikuwa CCM na ninamkubali sana

Maalim Seif ni mpinzani toka mfumo wa vyama vingi haujaridi hapa nchini. Huyo Membe ni tapeli la ccm lililomalizia ujana wake ccm, sasa hivi anataka kuja upinzani atutilie shombo kama Lowassa. Kama ACT mnamtaka, endeleeni naye maana hiyo ACT ni chama chake walianzisha na kina JK, Mwigulu nk.
 
Amvukishe nani wakati Tanzania tayari TULISHAVUKISHWA NA magufuli?
Pamoja na hilo tayari tuko kwenye uchumi wa kati.

Magufuli amvushe nani, uchumi wa kati kwa vilaza ndio wanakolea na hiyo swagga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…