Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
- Thread starter
- #41
Membe ndio chaguo la watanzania, upinzani tupo pamoja naye
Membe siyo CCM, ni mtu huru, alishafukuzwa CCM.
Membe ni tofauti na Lowasa, Lowasa alishindwa kuikosoa CCM akiwa ndani, wakati Membe kamkomalia jiwe humohumo ndani ya CCM.
Kwa kweli Membe ni mpinzani kuliko Waitara, Kafulila, Katambi, Kitila Mkumbo, Mtatiro, Dr Slaa, Mama Mghwira na wengine wengi waliounga mkono juhudi!