Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
- Thread starter
-
- #81
Membe is good for an additional booster rocket, though our precious PAYLOAD remains the very same Commander LISSU!
[emoji109] [emoji111][emoji111][emoji111][emoji95]
Membe tangu lini akawa mpinzani??
Huyo ni jasusi wa CCM, agombee CCM b CUF na ACT wazalendo!!
Hatuhitaji kufanya makosa kama ya Lowasa, watia nia wenye sifa wameisha jitokeza, atachaguliwa mgombea kidemokrasia apeperushe bendera ya CDM kugombea Urais!!
Naona Liumumba mna taka kuwapangia upinzani baada ya nyie kuandaa fomu moja
Membe ni chaguo lako wewe na nani??Wewe tulia, Membe ndio chaguo letu hutaki kaa kimya
Ndugu yangu mimi ni CDM damu! Nasema kuwa tutashinda na wasitutangaze, tutafanya nini? ndiyo hoja yangu
Membe ni chaguo lako wewe na nani??
Kama unamtaka mpeleke Lumumba awe mgombea mwenza wa jiwe!!
Safari hii hatuyumbi tunakuja mazima mtaipatapata!!
Lissu for Presidence. Period!!
Tanzania itakuwa chini ya kwa zaidi ya miaka 50 ijayo,ndio ukweli ingawa unauma!!huwezi kumtenganisha Membe na CCM!!!UPinzani ukiingia kwenye tego hilo basi
Lissu hana ushawishi labda kijijini kwenu, Tanzania hata mtoto ndogo anamjua Lissu.Sikiliza, Lissu yupo vizuri lakini hana ushawishi kuliko Membe. Lissu bado wakati wake
Sasa hivi twende na Membe
Alipotangaza nia mkafukuza uanachama, hamtaki wenye sifa wawe wengi kwenu ??Membe ana ushawishi kuliko lissu. Membe anauwezo wa kuwaondoa ccm saa nne tu asubuhi
Mda si mrefu atabambikiwa kesi apoteeMembe ana uwezo wa kuendana na matakwa yote ya upinzani, ni msikivu na ana busara
Wanamuandalia kesi mda si mrefu utaona anaelekea jelaWe jiandae kudharau tu ila Membe ndio raisi wako
Tuliza akili bro, huyu jamaa ni jasusi na ana mbinu zote za kuwezesha upinzani kushinda uraisi mwaka huu. Ni karata turufu
Tuliza akili bro, huyu jamaa ni jasusi na ana mbinu zote za kuwezesha upinzani kushinda uraisi mwaka huu. Ni karata turufu
MAKOVU YA LOWASA NA SUMAYE YAPO
Nimefuatilia na kumsikiliza kwa makini sana Mh. Membe (jasusi mbobezi) na nimekubaliana nae kuwa anaweza kuwa mtu sahihi sana kuliko wagombea wengine wa upinzani.
Membe ana uwezo wa kujenga hoja na ikakubalika hii ni kutokana na ujasusi wake hivyo ni faida kubwa sana kwa Upinzani
Membe ana utumishi uliotukuka ukilinganisha na wagombea wengine wa upinzani, hivyo kuna faida nyingi kuwa mgombea wetu wa upinzani.
Membe ni mwanadiplomasia nguli na anaweza kuirudisha Tanzania mahali ilipokuwa kimataifa.
Membe ni karata turufu sana kwa wakati huu kwa kuwa ameshajimbambanua kupambana na Magu, hivyo ameshajiandaa na urais.
Upinzani tumpe nafasi membe apeperushe bendera yetu kuliko kuwaachia wengine ambao sidhani kama wana ushawishi kama Membe
#2020upinzani na jasusi mbobezi#
Hakuna kupokea KAPI, ujinga ni saa ya kwenda tu.Tuliza akili bro, huyu jamaa ni jasusi na ana mbinu zote za kuwezesha upinzani kushinda uraisi mwaka huu. Ni karata turufu
Unalipwa sh ngapi?..hakuna mpinzani mwenye akili hiyo kwa sasa, tumekushtukiaMembe ana nguvu kubwa sana nyuma yake, anatupeleka upinzani ikulu mwaka huu. Mark my words
Lissu ni bora kuliko Membe na ma CCM wote.Lissu na Membe wote hamna kitu. Tuache kujidanganya na kujifariji.
Huo ni utopolo. Labda kama kuna chama kitakubali kujidhalilisha kwa kumpa nafasi hiyo lakini siyo upinzani kwa ujumla wake.Nimefuatilia na kumsikiliza kwa makini sana Mh. Membe (jasusi mbobezi) na nimekubaliana nae kuwa anaweza kuwa mtu sahihi sana kuliko wagombea wengine wa upinzani.
Membe ana uwezo wa kujenga hoja na ikakubalika hii ni kutokana na ujasusi wake hivyo ni faida kubwa sana kwa Upinzani
Membe ana utumishi uliotukuka ukilinganisha na wagombea wengine wa upinzani, hivyo kuna faida nyingi kuwa mgombea wetu wa upinzani.
Membe ni mwanadiplomasia nguli na anaweza kuirudisha Tanzania mahali ilipokuwa kimataifa.
Membe ni karata turufu sana kwa wakati huu kwa kuwa ameshajimbambanua kupambana na Magu, hivyo ameshajiandaa na urais.
Upinzani tumpe nafasi membe apeperushe bendera yetu kuliko kuwaachia wengine ambao sidhani kama wana ushawishi kama Membe
#2020upinzani na jasusi mbobezi#
Upuuzi mtupu.Membe ana nguvu kubwa sana nyuma yake, anatupeleka upinzani ikulu mwaka huu. Mark my words