900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
safari hii atakayetoka ccm kuja upinzani kuutaka uraisi atasugua sana benchi asubiri 2025Wewe tulia, Membe ndio chaguo letu hutaki kaa kimya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
safari hii atakayetoka ccm kuja upinzani kuutaka uraisi atasugua sana benchi asubiri 2025Wewe tulia, Membe ndio chaguo letu hutaki kaa kimya
Ni kweli anybody can be President but not any body.Haw watu sijui wana akili gani. kama Jiwe ameweza kuwa rais anybody can be!
hayo makapi ya ccm hakuna mtu anahitaji safari hii labda aje kutufundisha namna ccm wanaiba kuraNdo mnayemtegemea aje kwenu ili mpate mgombea Urais
Sikiliza, Lissu yupo vizuri lakini hana ushawishi kuliko Membe. Lissu bado wakati wake
Sasa hivi twende na Membe
Kumbe huwa hamjifunzi tu? Why msirecruit wanachama wenu ambao mmetoka nao mbali na die hard fans wa vyama vyenu? Kwa kufuata huu upepo na gesi ya Pepsi,CCM itaiongoza nchi hii kwa miaka mingine 30 au 50 ijayo
Ngoja tuonehayo makapi ya ccm hakuna mtu anahitaji safari hii labda aje kutufundisha namna ccm wanaiba kura
Nimefuatilia na kumsikiliza kwa makini sana Mh. Membe (jasusi mbobezi) na nimekubaliana nae kuwa anaweza kuwa mtu sahihi sana kuliko wagombea wengine wa upinzani.
Membe ana uwezo wa kujenga hoja na ikakubalika hii ni kutokana na ujasusi wake hivyo ni faida kubwa sana kwa Upinzani
Membe ana utumishi uliotukuka ukilinganisha na wagombea wengine wa upinzani, hivyo kuna faida nyingi kuwa mgombea wetu wa upinzani.
Membe ni mwanadiplomasia nguli na anaweza kuirudisha Tanzania mahali ilipokuwa kimataifa.
Membe ni karata turufu sana kwa wakati huu kwa kuwa ameshajimbambanua kupambana na Magu, hivyo ameshajiandaa na urais.
Upinzani tumpe nafasi membe apeperushe bendera yetu kuliko kuwaachia wengine ambao sidhani kama wana ushawishi kama Membe
#2020upinzani na jasusi mbobezi#
hebu orodhesha wapinzani wa kweli tuwajue na sisiKwa mambo niliyojifunza toka kwawale waliotoka ccm na kuingia upinzani wakijifanya watu wema, mwishowe baada ya kukamilisha kilicho wapeleka upinzani wakarudi ccm, nashindwa kuwaamini kabisa wanasiasa kama hao.
Kama Membe ni mtaji, basi agombee huko huko ccm, na wapinzani waendelee kuwatumia wapinzani kuwania hicho kiti cha urais.
a matter of time, wote walikuwa hukoMbowe alikuwa huko?? Lissu Je???
hebu orodhesha wapinzani wa kweli tuwajue na sisi
kumbe hujui unachoongea, usifate mkumboCCM na serikali yake
Hana nguvu yoyote, ana maneno mengi yasiyo na vitendo. Yeye ni kama Lowassa, anacheza huu mchezo kwa faida ya CCM tu.Membe ana nguvu kubwa sana nyuma yake, anatupeleka upinzani ikulu mwaka huu. Mark my words
Husinilazimishe kuamini unachoamini wala kusema unachokitaka.kumbe hujui unachoongea, usifate mkumbo
C
Membe ni mzalendo, msafi, hana kashfa yoyote mbaya ya ufisadi.
Ndo mnayemtegemea aje kwenu ili mpate mgombea Urais
Naanzaje kuwa mpinzani? Ila siku mkisimamisha mgombea anae jielewa nitamchagua.hivi nawewe kumbe ni CCM?
Nimefuatilia na kumsikiliza kwa makini sana Mh. Membe (jasusi mbobezi) na nimekubaliana nae kuwa anaweza kuwa mtu sahihi sana kuliko wagombea wengine wa upinzani.
Membe ana uwezo wa kujenga hoja na ikakubalika hii ni kutokana na ujasusi wake hivyo ni faida kubwa sana kwa Upinzani
Membe ana utumishi uliotukuka ukilinganisha na wagombea wengine wa upinzani, hivyo kuna faida nyingi kuwa mgombea wetu wa upinzani.
Membe ni mwanadiplomasia nguli na anaweza kuirudisha Tanzania mahali ilipokuwa kimataifa.
Membe ni karata turufu sana kwa wakati huu kwa kuwa ameshajimbambanua kupambana na Magu, hivyo ameshajiandaa na urais.
Upinzani tumpe nafasi membe apeperushe bendera yetu kuliko kuwaachia wengine ambao sidhani kama wana ushawishi kama Membe
#2020upinzani na jasusi mbobezi#
Tuambie kidogo namna alivyotumia ujasusi wake kupora the so called CHANGE YA RADAR na yale mapesa ya LIBYA. Naamini mbinu alizotumia ni za kijasusi na zinaweza kutumika kutengeneza FILAMU nzuri sana na ikatupatia mapesa ya kutosha. Tukipata hilo ndiyo tuende kwenye uwezo wake kama MPINZANI na kama ni presidential material!Nimefuatilia na kumsikiliza kwa makini sana Mh. Membe (jasusi mbobezi) na nimekubaliana nae kuwa anaweza kuwa mtu sahihi sana kuliko wagombea wengine wa upinzani.