Tetesi: Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba

Tetesi: Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba

Ku-deal na mtu kariba ya Membe ujipange hasa. Huyu ni jasusi si wa kitoto. Ni diplomat maarufu sana huko duniani. Bila Membe Jakaya asingepata Urais na hata baada ya kupata Kuna baadhi ya viongozi duniani asingewafikia. Huyo ni mwandamizi wa Jesuits mbali na kuwa Mwalimu wa ukachero wa M16 ya Uingereza. Niishie hapo maana kwanza ujue Membe anawakilisha wangapi kwenye kesi hiyo?
Jasusi mbobezi kadedi.
 
Kisheria ipoje ikitokea mdaiwa ambae ni musiba akafarik dunia kabla ya mali kupigwa mnada
Hili swali lako ulitakiwa uulize kwa pande zote mbili, za mdaiwa na mdai! Ona Sasa inabidi urudie swali lako tena!!!
 
Back
Top Bottom