Membe hakuja ACT (upinzani) kwa vile wamekerwa na dhuluma ndani ya CCM, bali kwa vile wamekosa matarajio yao, ndiyo maana wanakuwa kero walikohamia

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Membe ameleta sintofahamu ACT kwa kiasi fulani juzi. Sababu ni matamanio yake yalityomtoa CCM anaona kama vile yanapotea akiwa ACT. Alidhani, na ACT walidhani ni asset , angelileta ushawishi na kukijenga chama, kumbe ni matatizo!

Upinzani ujifunze, Hawa watu wasipokelewe tena.
 
Kosa kurudia kosa. ACT walitakiwa wajifunze kutokana na makosa yaliyofanywa na Chadema kupokea hizi takataka toka CCM.
 
Membe atashika nafasi ya pili, yule msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
 
Mi nilimskiliza tu since day one,,,nikajua huu ni mzigo.

Sawa na kina lowasa. Wafikiri kuwa na jina kubwa ndo kufanikiwa.

Watu wanaangalia kichwani una nini?/

Sio umaarufu....Hata umber luti ni maarufu.
 
Membe ameleta sintofahamu ACT kwa kiasi fulani juzi. Sababu ni matamanio yake yalityomtoa CCM anaona kama vile yanapotea akiwa ACT. Alidhani, na ACT walidhani ni asset , angelileta ushawishi na kukijenga chama, kumbe ni matatizo!

Upinzani ujifunze, Hawa watu wasipokelewe tena.
Baada ya huu uchaguzi 'atapasuka' hua hakai na kitu kifuani....
 
Itakuwa vema sana kuweka wazi yaliyo na maslahi kwa umma! Hivi mbona hawataji wafuasi wake , wabunge walio CCM?
 
Hawa watu wataendelea kupokelewa tu kwa kuwa vyama vingi vya upinzani vinaangalia maslahi yao kwanza.

Zitto alijua kabisa urais Membe hatoweza kuupata (kwa kupata kura za kutosha au kupewa na vyombo) ila tu target yake ilikuwa labda kuongeza kura za urais na kuongeza idadi ya wabunge ili RUZUKU ya ACT nayo iwe kubwa sana
 
Lowassa sio sawa na Membe, yule alikuwa na ushawishi, mpaka leo bado naamini yule mzee alishinda ule uchaguzi mkuu wa 2015, ila kitendo chake cha kukubali kushindwa kilaini vile ndio kinanifanya nifikirie yule nae inawezekana alitumwa kwa kazi maalum.
 
Membe ameleta sintofahamu ACT kwa kiasi fulani juzi. Sababu ni matamanio yake yalityomtoa CCM anaona kama vile yanapotea akiwa ACT. Alidhani, na ACT walidhani ni asset , angelileta ushawishi na kukijenga chama, kumbe ni matatizo!

Upinzani ujifunze, Hawa watu wasipokelewe tena.
Na bado! Kuna kesi kwa msajiri! Tatizo Act na chandimu urafiki wa mashaka! Endeleeni kupoteana hivyohivyo sisi tunachanja mbuga!
 
Membe alipaswa awe smart kama Nyalandu

hata angefanikiwa kufanya ikampeni asingepata kura za kumzidi mzee wa ubwabwa

sasa akagombee uenyekiti wa kanda kama Sumaye;ajenge chama..urais amwachie Tundu
 
Lowassa sio sawa na Membe, yule alikuwa na ushawishi, mpaka leo bado naamini yule mzee alishinda ule uchaguzi mkuu wa 2015, ila kitendo chake cha kukubali kushindwa kilaini vile ndio kinanifanya nifikirie yule nae inawezekana alitumwa kwa kazi maalum.
Hata mwaka huu mtajidanganya kuwa mmeshinda
 
Back
Top Bottom