Kosa kurudia kosa. ACT walitakiwa wajifunze kutokana na makosa yaliyofanywa na Chadema kupokea hizi takataka toka CCM.Membe ameleta sintofahamu ACT kwa kiasi fulani juzi. Sababu ni matamanio yake yalityomtoa CCM anaona kama vile yanapotea akiwa ACT. Alidhani, na ACT walidhani ni asset , angelileta ushawishi na kukijenga chama, kumbe ni matatizo!
Upinzani ujifunze, Hawa watu wasipokelewe tena.
We pisi nakutamanigi kinyama yaaniMembe atashika nafasi ya pili, yule msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Baada ya huu uchaguzi 'atapasuka' hua hakai na kitu kifuani....Membe ameleta sintofahamu ACT kwa kiasi fulani juzi. Sababu ni matamanio yake yalityomtoa CCM anaona kama vile yanapotea akiwa ACT. Alidhani, na ACT walidhani ni asset , angelileta ushawishi na kukijenga chama, kumbe ni matatizo!
Upinzani ujifunze, Hawa watu wasipokelewe tena.
Itakuwa vema sana kuweka wazi yaliyo na maslahi kwa umma! Hivi mbona hawataji wafuasi wake , wabunge walio CCM?Baada ya huu uchaguzi 'atapasuka' hua hakai na kitu kifuani....
Lengo la ACT waliwaza kukuza chama Chao so walidhani Membe angewafaa kumbe shidaKosa kurudia kosa. ACT walitakiwa wajifunze kutokana na makosa yaliyofanywa na Chadema kupokea hizi takataka toka CCM.
Hana wafuasi wowoteItakuwa vema sana kuweka wazi yaliyo na maslahi kwa umma! Hivi mbona hawataji wafuasi wake , wabunge walio CCM?
Na bado! Kuna kesi kwa msajiri! Tatizo Act na chandimu urafiki wa mashaka! Endeleeni kupoteana hivyohivyo sisi tunachanja mbuga!Membe ameleta sintofahamu ACT kwa kiasi fulani juzi. Sababu ni matamanio yake yalityomtoa CCM anaona kama vile yanapotea akiwa ACT. Alidhani, na ACT walidhani ni asset , angelileta ushawishi na kukijenga chama, kumbe ni matatizo!
Upinzani ujifunze, Hawa watu wasipokelewe tena.
Nadhani uko sahihi! Ni mbwembwe tuHana wafuasi wowote
Hata mwaka huu mtajidanganya kuwa mmeshindaLowassa sio sawa na Membe, yule alikuwa na ushawishi, mpaka leo bado naamini yule mzee alishinda ule uchaguzi mkuu wa 2015, ila kitendo chake cha kukubali kushindwa kilaini vile ndio kinanifanya nifikirie yule nae inawezekana alitumwa kwa kazi maalum.