Membe, Kinana, Nape, Makamba kwanini hawakumzika Rais Magufuli?

Uzuri au ubaya wa msiba ni aliyeshindwa kumzika mwenzake (kama kwa makusudi au vyovyote) hatapata fursa na yeye ya kuzikwa na yule ambaye hakumzika.

It's natural,pia kama hawatazikana still haiwasaidii au kuwapunguzia chochote kwenye umauti wao.
 
Hao wote uliowataja hata yule mwenye bashasha ambaye alikuwepo lango la kuzimu limefunguka kuwameza mmoja baada ya mwingine hadi kukata moto..kundi la kimafia uzandiki na visasi Karma ndio mamlaka yao ya uamuzi
 
Unauliza vitu vya ajabu ajabu,kenge nambari wani wewe!
 
Unaendae kumzika adui, kwa mfano!
 
Huo msiba wa Yesu na Mohamed tu, haukuhudhuliwa na watu wote.
Zaidi ya yote unafi hata msiba wa Nyerere vivyo... Why Magufuli!? [emoji848]
kisa alipokufa amepewa cheo kile cha malaika mkuu alichokuwa anakihitaji ama!????

Sent from my SOV37 using JamiiForums mobile app
 
Yule paka hakustahili kuzikwa na watu smart kama hao uliowataja.
 
KWA hio mmeamua kuwashughulikia ambao hawakumzika!!!?

Hata Mimi sikia na nauli je mtanishughulikia!!?

Samahani wakuu!!
 
Ao uliowataja waliokuwa na vyeo gani serikalini wewe ulimzika?
 
Utajuwa tu. Kila jambo na wakati wake.
 
Matokeo yameanza kuonekana SASA tusubiri
 
Hii nchi tunakoelekea ni mgawanyiko wa kitabaka, kanda, hali au mali.
Huu uhuru wa maoni ni ujinga mtupu. Uzi kama huu Mod sioni sababu kwanini hauondolewi.
Kianzia kesho naanza kutupia porn video clip. Mkipiga ban nafungua ID nyingine

Ifike mahali threads zenye content za Taharuki, uvunjifu wa amani,migawanyiko , kukokosa maadili kwa aina zake zisipandishwe.
Mods tutawavuta mahakamani
 
Hawakuwepo Chato na hawakutoa salamu za pole popote pale kama ambavyo sukuma gang hawatatoa salamu za pole kwa msiba wa Membe.
Usiseme sukumagang kuleta hisia ni jambo la wasukuma. Sukumagang ni umma wa watanzania. Tumekubali tuiteni tu hivyo haitasaidia kitu kwenu fisadi na gang of four mliyo msengenya magufuli na kumhujumu.
 
Wa Tanzania gani hao wengi walijiuliza ?
Anyway, CCM zikeni Wafu wenu Mtuache sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…