mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Hawa si ni "wazuri," hawafi hawa. Hivi kuna kiongozi mnafiki kama Mze Makamba hapa nchini? Yaani huyu Mze ni mnafiki mpaka kaambukiza watoto wake wote wa kiume japo watu wanasema Wanaume wa Kisambaa ndivyo walivyo ila kwa huyu Mze na wanawe it's too much. Wakati viongozi wako bize kwenda kumzika Magufuli, Mze Makamba alikuwa bize na simu kuwapigia wenzake wasiende msibani wasuse kumuonyesha marehemu kuwa wao ndio wenye nchi. Chama kilikuwa kinakufa chini ya huyu Mze kipindi alipokuwa katibu Mkuu, kulikuwa na makundi ya hajabu hajabu kutokana na unafiki wake.SIKU ya mazishi ya HAYATI MAGUFULI, Membe, Kinana, Nape, Makamba Baba na Makamba mtoto hawakuonekana mazikoni nini kiliwasibu kutomzika Magufuli?
Maswali haya walijiuliza watanzania wengi kwamba Magufuli aliwakosea nini hadi washindwe kumzika?
Kama nitakuwa nimekosea kusema hawakuwepo kumbe walikuwepo Chato mnaweza kunisahihisha.