Membe, Kinana, Nape, Makamba kwanini hawakumzika Rais Magufuli?

SIKU ya mazishi ya HAYATI MAGUFULI, Membe, Kinana, Nape, Makamba Baba na Makamba mtoto hawakuonekana mazikoni nini kiliwasibu kutomzika Magufuli?

Maswali haya walijiuliza watanzania wengi kwamba Magufuli aliwakosea nini hadi washindwe kumzika?

Kama nitakuwa nimekosea kusema hawakuwepo kumbe walikuwepo Chato mnaweza kunisahihisha.
Kwani hajazikwa?
Vp,ndo ulikuwa umewapanga kwenye ratiba?
Wewe ulishindwa?
Acheni upuuzi,kila mmoja wetu atakufa.
 
SIKU ya mazishi ya HAYATI MAGUFULI, Membe, Kinana, Nape, Makamba Baba na Makamba mtoto hawakuonekana mazikoni nini kiliwasibu kutomzika Magufuli?

Maswali haya walijiuliza watanzania wengi kwamba Magufuli aliwakosea nini hadi washindwe kumzika?

Kama nitakuwa nimekosea kusema hawakuwepo kumbe walikuwepo Chato mnaweza kunisahihisha.
Walikuwa wanasherehekea ushindi wao
 
Hii nchi tunakoelekea ni mgawanyiko wa kitabaka, kanda, hali au mali.
Huu uhuru wa maoni ni ujinga mtupu. Uzi kama huu Mod sioni sababu kwanini hauondolewi.
Kianzia kesho naanza kutupia porn video clip. Mkipiga ban nafungua ID nyingine

Ifike mahali threads zenye content za Taharuki, uvunjifu wa amani,migawanyiko , kukokosa maadili kwa aina zake zisipandishwe.
Mods tutawavuta mahakamani
Hii ni nchi huru yenye uhuru wa habari na maoni. Tuwe wastahimilivu kuyasikia hata yasiyotufurahisha.
 
Nadhani ilikuwa sawa tu. Mafisadi kwenda kumzika kamanda mpambanaji dhidi ya ufisadi ni kumshushia heshima yake. Sasa mtu fisadi kama kinana aende kumzika Magufuli, ili iweje? Hata Kikwete tulivumilia tu. Tunaoamini ktk falsafa zake tulimzika, inatosha.
 
Hii nchi tunakoelekea ni mgawanyiko wa kitabaka, kanda, hali au mali.
Huu uhuru wa maoni ni ujinga mtupu. Uzi kama huu Mod sioni sababu kwanini hauondolewi.
Kianzia kesho naanza kutupia porn video clip. Mkipiga ban nafungua ID nyingine

Ifike mahali threads zenye content za Taharuki, uvunjifu wa amani,migawanyiko , kukokosa maadili kwa aina zake zisipandishwe.
Mods tutawavuta mahakamani
Unaandika kama umepachikwa jiti huko nyuma. Thread zikiwa na mlengo wa kumchafua Magufuli ndio mnazishabikia, watu wakiandika maoni kuhusu watu wenu mnaanza kutoa mapovu.
 
SIKU ya mazishi ya HAYATI MAGUFULI, Membe, Kinana, Nape, Makamba Baba na Makamba mtoto hawakuonekana mazikoni nini kiliwasibu kutomzika Magufuli?

Maswali haya walijiuliza watanzania wengi kwamba Magufuli aliwakosea nini hadi washindwe kumzika?

Kama nitakuwa nimekosea kusema hawakuwepo kumbe walikuwepo Chato mnaweza kunisahihisha.
Tuache unafiki watanzania. Kama mtu humpendi kuna haja gani ya kwenda kujikosha msibani kwake eti umekuja kumzika. Sisemi kuwa walikuwa hawampendi maana hawakuwahi kuniambia hivyo wala sijawahi kuwasikia ila matendo yao na hali inaonyesha hawakuwa wanamkubali.
Tuache kuishi kwa unafiki wa kumpenda marehemu wakati akiwa hai hukuwa wampenda.
 
Ukitoka haja kubwa akili itarudi aise.
Vp baba yako alienda CHATO.
Punguza makasiriko boya wewe.
Mwulize mzikwaji.
Hii grosaly iko chimbo kweli.

Nipo zangu NZII
 
Tuache unafiki watanzania. Kama mtu humpendi kuna haja gani ya kwenda kujikosha msibani kwake eti umekuja kumzika. Sisemi kuwa walikuwa hawampendi maana hawakuwahi kuniambia hivyo wala sijawahi kuwasikia ila matendo yao na hali inaonyesha hawakuwa wanamkubali.
Tuache kuishi kwa unafiki wa kumpenda marehemu wakati akiwa hai hukuwa wampenda.
Rondo utakwenda?
 
SIKU ya mazishi ya HAYATI MAGUFULI, Membe, Kinana, Nape, Makamba Baba na Makamba mtoto hawakuonekana mazikoni nini kiliwasibu kutomzika Magufuli?

Maswali haya walijiuliza watanzania wengi kwamba Magufuli aliwakosea nini hadi washindwe kumzika?

Kama nitakuwa nimekosea kusema hawakuwepo kumbe walikuwepo Chato mnaweza kunisahihisha.
Walikuwepo baadhi yao....

Karibuni Rondo tumzike baba Cecy....

Rest easy El Commandante BCM ,amen amen[emoji120]

Rest easy El Commandante El comorade JPM amen amen[emoji120]
 
SIKU ya mazishi ya HAYATI MAGUFULI, Membe, Kinana, Nape, Makamba Baba na Makamba mtoto hawakuonekana mazikoni nini kiliwasibu kutomzika Magufuli?

Maswali haya walijiuliza watanzania wengi kwamba Magufuli aliwakosea nini hadi washindwe kumzika?

Kama nitakuwa nimekosea kusema hawakuwepo kumbe walikuwepo Chato mnaweza kunisahihisha.
Utaendaje kushiriki kumzika shetani kwa heshima,?
 
Waganga wa Jadi kama hawa huwa hawajitokezi kwenye MISIBA maana wanajua nafsi zinawashitaki

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeanza kuwadharau waganga wa jadi baada ya kupata scholarship ya st.Petersburg?[emoji15][emoji1787]

Kule Perovo kumejaa waganga wa jadi....acha zako wewe [emoji1787][emoji1787]
 
Azikwe na kila mtu kwani ye alikuwa nani, si mifupa tu now.
Yeye ni binaadamu kama ulivyo wewe na mimi...

Unajitia uchizi eee?!!![emoji1787]

Karibu Rondo tumzike baba Cecy...

Rest easy El Commandante BCM ,amen [emoji120]
 
Kwa vile tumefika huku; sipati picha siku Architect wa kila kitu mzee wa Msoga atakapokata moto. Nchi itaripuka kwa nderemo na vifijo!

Au yule mzee wa WEMA HAWAFI
Au hawa vijana wawili wa hovyo
Au yule mzee wa migebuka aliyetaka waombolezaji wakazikwe Chato.

Tunalo tatizo!

Mungu na Atusaidie 🙏🏿
 
Back
Top Bottom