Membe, Kinana, Nape, Makamba kwanini hawakumzika Rais Magufuli?

Hawa si ni "wazuri," hawafi hawa. Hivi kuna kiongozi mnafiki kama Mze Makamba hapa nchini? Yaani huyu Mze ni mnafiki mpaka kaambukiza watoto wake wote wa kiume japo watu wanasema Wanaume wa Kisambaa ndivyo walivyo ila kwa huyu Mze na wanawe it's too much. Wakati viongozi wako bize kwenda kumzika Magufuli, Mze Makamba alikuwa bize na simu kuwapigia wenzake wasiende msibani wasuse kumuonyesha marehemu kuwa wao ndio wenye nchi. Chama kilikuwa kinakufa chini ya huyu Mze kipindi alipokuwa katibu Mkuu, kulikuwa na makundi ya hajabu hajabu kutokana na unafiki wake.
 

Magufuli alikuwa ni special sana kwamba kila mtu lazima amzike? Na nyinyi mliokwazika kwa wao kutokuhudhuria, msihudhurie misiba yao, case closed.
 
Hakuna atakayewazuia kulipuka kwa nderemo, lakini hiyo haimaanishi kuwa dhalimu alikuwa mtu mwema.
 
Kama utakua na kumbukumbu Hitler kutokana na aliowafanyia watu wengi kwenye kifo chake alizikwa na mkewe na shemeji yake tu.,"Watoto wake wawili wakubwa waligoma.Sasa ubaya jiwe aliowafanyia hao uliowataja jibu unalo.Ubaya aliowafanyia uliowataja sio siri hata ingekua ni mimi nisingelisogea! Usitafute watu ndani wakati kila jambo liko wazi!
 
Kumbe weye ulikwenda sio kwania ya kuzika ila kuweka hesabu nani kafika nanani hakufika.Hivi mie uliniona!Na ninani alikupa kazi hiyo naulilipwa kiasi gani!
 
angefufuka? hao sio wanafki km wewe.
 
Watu wazuri Hawafi
 
Kwahiyo tunaanzia hapo uchunguzi wa Luhaga Mpinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…