Uchaguzi 2020 Membe: Kuhusu suala la urais hilo halina mjadala, nitajitosa na nitashinda

Mbwa kala mwanae...hasa ule upinzani wa ndani ndio umeanza rasmi. Hebu chadema na AcT tuachieni uwanja tutifuate. Huu mtifuano hatutaki kugombelezewa....mtuache jameni.
 
Mh Membe popote ulipo, tambua una KURA yangu tayari.

Kazi kwako....
 
Self-explanatory.

Naona jamaa anaendelea tu kuwakata watu maini. Watajuuuta kumchokonoa!


View attachment 1173321
Inaudhi kupita kiasi kwa wahusika, kuhusu 'vijimambo' vya namna hii vinavyochokonoa chokonoa, lakini haviumi vya kutosha kujibu mapigo.
Utaanzia wapi kujibu mapigo ya uhakika kwa 'vimaneno' kama hivi! Unabaki tu unaumia ndani kwa ndani.

Hii ni mikakati ya ajabu sana!
 
Tunaisubiri kwa hamu 2020 tujinywee juice ya maembe
Nalog off
 
Kwa kuwa huyu jamaa ashawahi/bado ni kachero si dhani kama hii shauku alionayo ni halisi. Napata mashaka sana asijekuwa yupo kazini tu.
 
Kuna tukio litamtokea uyo jamaa atapotea mazima kwenye ulimwengu wa siasa za Tanzania na itabaki historia.

Tokea aanze kukubali sauti ni yake kuna kitu anakitafuta ila akili nyingi wameshamstukia ndio maana hamna mtu ndani yq chama anabishana nae.
 
Huyu mzee sidhani kama ana akili sawa sawa kwa sasa. Kwanza umri wake tu unasuggest anapitia serious mental condition ya midlife crisis.

Ukisikia uzee kuja vibaya ndio hivi sasa. Hizi ndoto za mchana, badala akae na wajukuu zake afurahie maisha anaanza upuuzi.

Ndio. Maana life expectancy ipo chini Tanzania sababu watu wakifika umri unaotakiwa wawe na utulivu wao ndio wanaanza fujo.
 
Akili zimeanza kuwa siyo sawa baada ya kusema anagombea urais?
 
''KAMA NI MAENDELEO TUNGEWEZA KUYAPATA HATA CHINI YA MKOLONI, LAKINI UHURU WETU ULIKUWA NA MAANA KULIKO MAENDELEO YA WAKOLONI''
ahsante sana!
 
Miundombinu inajengwa kwa kodi za wananchi na sio hisani au mshahara wa rais. Hivyo miundombinu itajengwa na yoyote hata kama nchi itakuwa haina rais kwani mipango ya nchi ipo tayari.
We jamaa ujue una akili sana! YANI UMEJUA KUNITENGENEZEA SIKU YANGU !
LIMEBARIKIWA TUMBO LILILOKUZAA!
 
Nimekutana nayo mahali
 

Attachments

  • Screenshot_20190806-142552.png
    39.7 KB · Views: 29
Magufuli anatufaa sana kwa sasa. Ninatamani ashinde kwa kishindo na aendelee na uongozi. Wanaotaka kugombea siwapingi maana ni haki yao kwa mujibu wa katiba. Lakini kwa mtazamo wangu kwa sasa tunamhitaji mh. Magufuli kuliko hao wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…