johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tundu Lisu atagombea urais kutokea wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zitto ni Kiongozi wa Chama ( KC)
Wao wanaamini watamshinda Dr. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI.
Labda agombee urais wa tff
Nani apigie kura kibaraka wa wahindi na mafisadi
Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema kiongozi wa chama ni nani?Zitto ni Kiongozi wa Chama ( KC)
Chadema hawana hicho cheo bwashee!
Kwann wasimshinde? Wewe ndio unawapigia kura watanzania wote?Wao wanaamini watamshinda Dr. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI.
Mzee Mtei, baba mkwe wa mbowe
Lissu amechimba bonge la mkwara kwamba Chadema ikimpokea Membe na kumpa ugombea urais, atajitoa Chadema kwa kufuata njia ya Dk. Slaa. Majadiliano yanaendelea na nitawataarifu mwafaka ukifikiwa.
Hata baada ya Membe kutoka kwenye mahojiano kule Dodoma, nilisema kuwa atafukuzwa ila wewe ulinijibu hivi hivi.Huna lolote
Maalim anakuwa mwenyekiti Zanzibar huku ZZK akiwa mwenyekiti bara