Uchaguzi 2020 Membe kuunguruma Alhamisi 16 Juni 2020

Ataungurumia Poli gani?

Huyu Membe kapatwa na ugonjwa gani huu wa kuunguruma tena?
 

Haha haaa, Lowasa wa ACT WAZALENDO 2020.
 
Utasikia njia zote za kwenda Milimani City zimefungwa kwa ajili ya "matengenezo"! Kama wanataka jioni hii walale hapo hapo Mlimani City.
 
jamaa shida ni urais tu ,hata ukimpa cheo kingine hataki ,Ikulu kule nini ati ??
 
CHADEMA wametuangusha sana. Zitto na ACT mmeleta tumaini jipya kwa wapenda mabadilko. Msituangushe, tafadhali! Daini Tume huru mara tu baada ya uchaguzi huu. Msisubiri mpaka katikati ya 2025.
kwamba sisi hatuna akili za kujifunza ya nyuma ? Muwe na subira na Pia mtambue Kuwa Kuna Watu wana akilitimamu
 
hajakata tamaa lah!!
inaonekana kweli anataka kutimiza ndoto yake ,
haya sisi washuhudiaji tunamtakaia kila la heri kwenye safari yake
 
Hili collabo la Membe na Lissu litakuwa hatari sana kwa CCM
Tatizo kula za upinzani zitagawanywa. Itakuwa vyema kwa upinzani kama Membe na Lissu wakaweka makubaliano ya kumsapoti mmoja wapo kwa nafasi ya urais
 
Uwingi na aina (confidence na view) ya watia nia wa chama tawala unaonyesha mwelekeo wa nchi hii kisiasa. Huo ndio ukweli kwa Karne hii, tuache kufarajiana
 
Napata picha kuwa Zitto alilenga kuwe na muungano wa vyama ili wampitishe Membe kwa tiketi ya ACT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…