Uchaguzi 2020 Membe kuunguruma Alhamisi 16 Juni 2020

kwamba sisi hatuna akili za kujifunza ya nyuma ? Muwe na subira na Pia mtambue Kuwa Kuna Watu wana akilitimamu
Yaa Waambie wajue tofauti ya kilichotokea nyuma na hiki wanachoona kitatokea pia kuna watu wanakuhisi kuwa wewe ni madterminder wa kubomoa upinzani. Mwaga vitu humu Zuberi..
Nakuapia hizi hoja ukizipanga vizur kwa majibu mujarabu kuna kundi utaliwin,na kukumbuka Pale Nkruma ulivoa kuwa unachomekea shati ukipanga hoja. Lete majibu hapa Zuberi Zitto!!
 
Membe hazuiliwi kwenye safari yake.acha afanye anachofanya.
 
Membe anashawishi mbona naona hana mbwembwe kama za mzee wetu lowassa za 2015.
.
Kikubwa mkitaka kuwin mentality ya watu unganisheni nguvu ya BM na TAL,.nguvu itakuwa kubwa na mtapata wawakilishi wengi bungeni lakini tamaa ya mwanadamu huushinda mwili wake siamini kama BM au TAL mmoja wapo akubali kuwa mgombea mwenza ikitokea tu wamekubaliana nina hakika October mambo yatageuka CCM hawataamini kwa huu mtririko wa watu kuchukua form nina imani mtawashinda sana..
BM ana sura ya uraisi.
TAL ni mjenga hoja.
.
.
Kwako zitto naomba ongea na huyo bwana mkubwa Mbowe najua yaliyotokea 2014 yalikuumiza sana lakini ndio siasa yenyewe, yamalizeni kisha unganisheni nguvu kabla ya kampeni kufunguliwa...
.
BM & TAL ni nguvu tosha ya kulipasua jiwe October.
 
Membe siwezi kumwamini hata 10%, ACT mmeamua kutuuza tena kama 2015. Nashindwa kuelewa dhamila ya uanzishwaji wa chama chenu ACT. Mwaka 2015 mliusaliti umoja wa UKAWA . Na sasa mnapita njia zile zile tena.
 
Reactions: BAK
Karibu mhe.Membe upinzani lkn ujiandae kuwa meneja kampeni was mhe.Lissu....acha waseme huna madhara au nyoko nyoko lkn October 25 ndo tutajua Nani kamu win mwenzake...kwa sasa acha wachonge ngenga
Nitafurahi sana kama Membe hatagombea urais. Lakini pia asiwe kweny timu ya Ufundi wa Tundu Lissu atakuwa anavujisha mikakati na mbinu za ushindi kwenda huko ccm.
 
Reactions: BAK
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👊🏽👊🏽👊🏽


Membe siwezi kumwamini hata 10%, ACT mmeamua kutuuza tena kama 2015. Nashindwa kuelewa dhamila ya uanzishwaji wa chama chenu ACT. Mwaka 2015 mliusaliti umoja wa UKAWA . Na sasa mnapita njia zile zile tena.
 
Sawa
 
Lisu kule membe Kati zitto, hawa ni wasomi ni wabobezi kwenye fani zao

Membe ni kachero mbobezi,msomi na mwanadiplosia

Lissu ni msomi mwasheria nguli

Zitto msomi mchumi mahiri

Nyie maCcm game imeanza kubadilika hii ni June ije october mtashaangaa hamtaamini
 
Tuliwaona mafisadi lowassa na sumaye nao wakijifanya wapinzani hatima yao wote tunaijua, Membe naye hana tofauti hata chembe hastahili huyu kupeperusha bendera ya upinzani.

Nitafurahi sana kama Membe hatagombea urais. Lakini pia asiwe kweny timu ya Ufundi wa Tundu Lissu atakuwa anavujisha mikakati na mbinu za ushindi kwenda huko ccm.
 
Tukiweza kumaintain integrity ya huu muingano upinzani nchini utaleta ukombozi
 
Membe
Tuliwaona mafisadi lowassa na sumaye nao wakijifanya wapinzani hatima yao wote tunaijua, Membe naye hana tofauti hata chembe hastahili huyu kupeperusha bendera ya upinzani.
Hafai kabisa. Fadhila alizopata ndani ya CCM hawezi kuzisaliti kamwe kwa kuwapenda wapinzani. Lakini pia ikumbukwe huyu alikuwa Mwana inteligensia wa kada ya juu sana. Kiapo chake hakina tofauti na cha Freemason. Huyu alikuwa mwanadiplomasia wa kimataifa akiwakilisha nchi kiapo chake ni sawa na cha Illuminati. No way anaweza kwenda kinyume na viapo vya serikali ya ccm na dola zake. Nashindwa kuelewa ung'amuaji wa mambo haya wa Akina Zitto et al. La sivyo tutaanza kuamini kumbe na wao ni kundi moja tu.
 
Reactions: BAK
Hauko pekee yako bali Watanzania wengi sana watawadharau. Zitto alionyesha yuko tayari kumuunga mkono Lissu kama mgombea wa upinzani ghafla karukia kwa Membe!

Kosa la 2015 likijirudia nitawadharau sana wapinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…