Uchaguzi 2020 Membe kuunguruma Alhamisi 16 Juni 2020

Kwani upinzani ni uhaini, Katiba si inaruhisu,
Unadhani upinzani utaweza shinda na kuapishwa bila support ya intelligence?
 
Kwani upinzani ni uhaini, Katiba si inaruhisu,
Unadhani upinzani utaweza shinda na kuapishwa bila support ya intelligence?
Unakumbuka yaliyotokea kwa Balozi Juma Mwapachu kule Zanzibar mwaka 2010?? Hayakuwa tofauti na ya Lowasa, Sumaye.
 
Usipanic mkuu, tumeshaumwa na nyoka kwa hiyo uoga ni lazima

Sasa nyie ndio mnatakiwa kuponya vidonda vya wananchi vya 2015, imani na upinzani imeshuka sana baada ya yoooote yaliyotokea
kwamba sisi hatuna akili za kujifunza ya nyuma ? Muwe na subira na Pia mtambue Kuwa Kuna Watu wana akilitimamu
 
Reactions: BAK
Kitendo cha kachero mbobezi na Maalim Seif kutimkia ACT ni kielelezo tosha kwamba hakuna future kwa wale jamaa.
 
Sitasahau aliyoyafanya miezi miwili kabla ya uchaguzi wa 2010 kulikuwa na uzi humu kuhusu maswali ya wengi aliyoshindwa kuyajibu baadaye akaombwa ufutwe ukafutwa. Akaanzisha uzi wa kuomba radhi kwa matendo yake Chadema nadhani ilikuwa December 2011 au 2012 kabla ya kufukuzwa Chadema. Aliulizwa maswali mengi na wengi humu akaishia kujiuma uma huo uzi nao akaomba ufutwe ukafutwa. Si wa kumuamini huyo hata chembe.

Zitto pia haaminiki, i don't trust him at all
 
Na ndo itakua mwisho wa upinzani labda waje na chama jirani
Nitacheka sana, baada ya kumaliza kazi iliyomleta na kusema "narudi nyumbani". Wakati huo mpo hoi bin taaban
 
Pro CCM
 

Brother kapungua sana..

Sijui mawazo!??
 
Mnafiki mkubwa wewe, leo unashangalia mafanikio y upinzani??
 
Nia ni kuipoteza maboya CHADEMA...
Hili nalo linahitaji degree kung'amua??

Yupo kazini huyo.
 
Tatizo kula za upinzani zitagawanywa. Itakuwa vyema kwa upinzani kama Membe na Lissu wakaweka makubaliano ya kumsapoti mmoja wapo kwa nafasi ya urais
Ambaye ni Lazima awe Tundu Lissu la Sivyo watanzania hawatakubali na zitawanyika tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…