Uchaguzi 2020 Membe kuunguruma Alhamisi 16 Juni 2020

ACT fagieni majimbo yote ya korosho,Membe atawaseea huko watamuelewa,maana ni Membe na CCM ya zamani walioliweka kwenye ramani,ccm mpya wameharibu Korosho na watu wamefukarishwa,Membe hapendi kabisa dhulma
 
usimpomzungumzia Mbowe huwa unajisikia vibaya sana,inaonekana huwa anakukuna vizur anapokupakua
 
Hivi ACT ni wajinga kiasi kwamba wameshindwa kujifunza kwa yaliyo wapata CDM baada ya Lowassa,Sumaye na Ngombale kuhamia huko and vice versa?Seriously namuona Membe na ACT kama wajinga fulani hivi....!
 
kwamba sisi hatuna akili za kujifunza ya nyuma ? Muwe na subira na Pia mtambue Kuwa Kuna Watu wana akilitimamu
Kongole sana muheshimiwa mimi binafsi nakukubali sana achana na hawa waimba mapambio mkuu.
Ila ushauri wangu kwenu muwe na collabo matata haswa uwepo wewe, Membe na Tundu Lissu huu muunganiko wenu utakuwa na impact kubwa sana kuliko kila mtu akiingia kivyake.
 
😂 😂 😂 😂 kwahio magufuli akigombea kupitia cdm pia watakua wametimiza lengo lao? daaah upinzani nchi hii acha tuendelee na ccm tu mpaka tupate watu wanaojielewa
Wewe usieelewa hata JK kama katiba inaruhusu akihami ACT akagombea urais na akashinda itasemekana CCM imetolewa madarakani. Na kwa taarifa yako waliopo upinzani wote 90% walianzia CCM.
 

Kwahiyo ' Team Membe ' huko ACT na Upinzani katika Picha zote alizowahi Kuzipiga huyu ' Kipenzi Chenu ' mpoteza muda hii ndiyo nzuri mno au?
 
Wewe usieelewa hata JK kama katiba inaruhusu akihami ACT akagombea urais na akashinda itasemekana CCM imetolewa madarakani. Na kwa taarifa yako waliopo upinzani wote 90% walianzia CCM.

usitufanye hatujui siasa bana we mzee. asilimia 90 hio ebu rekebisha kauli
 
Kuna watu wanaongea point adi raha sio mi point ya watoto wa lumumba
 
Membe siwezi kumwamini hata 10%, ACT mmeamua kutuuza tena kama 2015. Nashindwa kuelewa dhamila ya uanzishwaji wa chama chenu ACT. Mwaka 2015 mliusaliti umoja wa UKAWA . Na sasa mnapita njia zile zile tena.
Waliusaliti ki vipi? Hujui kua umoja ndio ulikataa na haukusoma barua ya Act kuhusu kujiunga katika umoja huo
 
Cha kufurahisha ni kwamba hadi kesho kutwa ndoto, dhamira na mapenzi ya Membe ni mgombea urais ndani ya CCM. Eti leo anataka kuwashawishi ACT kwamba ni mpenzi wa upinzani na mageuzi, na Zito ameshawishika hivyo!! Nina hakika CCM ikimhakikishia nafasi ya Makamu wa Rais Membe atachomoko kwenye kikao Mililani city kwenda nyumbani kusubiri uteuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…